Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

Inawezekana vipi mimi na wewe wote tupitie situation moja..?? Hahaha
Napitia exactly ulichokiandika right now, shida kwangu ni huyu “mshangazi” anawaza tuzae wote na hapo ndo anaponikwaza, imebidi kila nikienda kula tunda nibebe P2 na maji, tukimaliza tu namlazimisha ameze. Inanikwaza sana. Ukute kachanganyikiwa na ford hii kumbe ni hela za wife bhn, hahahhaha
mshangazi uchanganyikiwe na ford tena 😂,,, huo sio mshangazi ni myatima
 
Mkubwa kuwa makini ... usiache familia kwa mpango wa kando.. na hakikisha unamuweka wazi atambue mwisho wa siku itabidi awe na maisha yake na wewe sikuzote utarudi kujenga nyumbani yako.


ila all in all kwa umri nilionao moja ya kitu nilicho jifunza ni kwamba jijenge kiuchumi ata umkojoze ubongo mapenzi huisha hivyo tembea na choki.. atakuja alie bora zaidi hivyo endelea kujiimarisha kiuchumi na kupapalia mapenz yako
 
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia.

Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii imempelekea kila siku jioni lazima alazimishe tuonane.

Tangu wiki iliyopita hataki kuniachia nafasi, akitoka kwenye shughuli zake ataniuliza niko wapi?.

Nitakapokuwepo atalazimisha aje, na baadaye tutaenda nyumbani na kufanya yetu mpaka asubuhi.

Mbaya zaidi amenipa vitisho, ikitokea amenifumania, yuko tayari wote tukose.

Sasa najiuliza, hii ni kuchanganikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

Sasa hivi yuko njiani anakuja :AMOGUS:
Eeeeeh eeeeh eeeeh
 
Back
Top Bottom