Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

Sawa Mkuu warusi mnapiga sana ngoja tusubiri muda utaongea kwa hiyo hata ile ya kuchukua wafungwa waende vitani nayo utahitaji source? Mimi nilikua namkubali sana Putin sema hii vita imemshusha sana angebaki na mikwara yake tuu kama Pyo au Wachina..
Muda gani tena wakati muda umeshaongea. Unasubiri maiti kupiga chafya
 
Kuna video Moja inaonesha kamikaze drone ikikoswa na intercepting missiles,Sasa swali langu Je Huwa hizo missile zinaenda kutua wapi?
Isije ikawa ndio zinaenda kutua kwenye majengo public huko Kiev halafu blame inaenda Russia!
Interception ikifeli interceptor ina self destruct.

Russia ni kawaida yake kupiga makazi ya watu mfano mzuri ni Syria alivyotifua tifua apartments za watu na kuacha vifusi
 
Mnadhani air defense ni kama bodaboda unapewa Leo mkataba kesho unaanza kuendesha?!

Ukraine wanatumia Sana vifaa vya Usovieti hata air defenses zao nyingi ni za kirusi kama S300,hizi za West kabla hawajapewa lazima wapate mafunzo jinsi ya kuzitumia ndo zinapelekwa. Ujerumani ilitangaza kuipa Ukraine mfumo wa Iris T tangu April lakini wamekuja kuwapatia mwezi wa 10,miezi sita baadae. Hii ina maanisha muda wote huo hua ni mafunzo jinsi ya kuoperate hiyo mifumo.

Tukija kwenye mada sasa

NASAMS bado hazijaingia rasmi Ukraine japo Marekani imeshawapatia,wanajeshi wa Ukraine wapo Norway wanajifunza jinsi ya kuzitumia. Zitapelekwa mbili mwezi huu na sita nyingine baadae Sana, Uingereza imejitolea kuipa Ukraine interceptor mission 100 Kwa ajili ya NASAMS, Marekani haijasema itatoa ngapi.

Several dozen Ukrainian air defense troops are completing training in Norway on how to use the sophisticated National Advanced Surface-to-Air Missile Systems, known as NASAMS, paving the way for the delivery of the first systems to Ukraine in the next several days, American officials said on Tuesday.

Norwegian trainers have been working with fewer than 100 Ukrainian forces for the past couple of weeks, teaching them how to operate and maintain the system and its associated ammunition, the officials said


Ukrainian officials for weeks urged Western countries to provide more advanced defensive weapons systems as Russia ramped up its missile and exploding drone bombardment of Ukraine’s electrical grid and other critical infrastructure. The United States promised to send two NASAMS to Ukraine right away and six more in the next few years.

“We have been pressing hard to get them a NASAMS capability,” Defense Secretary Lloyd J. Austin III told reporters on Thursday, noting that he expected the first two systems to arrive in Ukraine with their trained operators in early November.

A senior Defense Department official said on Monday that the first two systems would be in Ukraine “in the very near future.”

Russia-Ukraine War: Russia Broadens Push to Relocate Civilians as Battle for Kherson Looms
 
About 100 #Ukrainian servicemen finish training on NASAMS anti-aircraft missile systems in #Germany

This was reported by The New York Times.

"The #Norwegian instructors train them in the operation and maintenance of the system and its ammunition," the publication said.

 
Wanakili wenyewe hii vita ni tofauti na vita walizozoea uko Afghanistan na Iraq, hao gays men wanakimbia mtulinga wa Russia, wengine wanasema kabisa wanachoona ni mabomu na mizinga tu hawajawai kuonana na askali wa Russia face to face. Wanachoona ni mizinga inapita kwenye vichwa vyao. Ndo wengi wamekataa kwenda front line wanarudi makwao uko America, UK etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…