Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Aisee. Usisahau pia ile aliyokufa Uvalde, Texas mwezi Mei. Wapi mnapata haya makitu? RT?[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2404876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee. Usisahau pia ile aliyokufa Uvalde, Texas mwezi Mei. Wapi mnapata haya makitu? RT?[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2404876
Muda gani tena wakati muda umeshaongea. Unasubiri maiti kupiga chafyaSawa Mkuu warusi mnapiga sana ngoja tusubiri muda utaongea kwa hiyo hata ile ya kuchukua wafungwa waende vitani nayo utahitaji source? Mimi nilikua namkubali sana Putin sema hii vita imemshusha sana angebaki na mikwara yake tuu kama Pyo au Wachina..
Interception ikifeli interceptor ina self destruct.Kuna video Moja inaonesha kamikaze drone ikikoswa na intercepting missiles,Sasa swali langu Je Huwa hizo missile zinaenda kutua wapi?
Isije ikawa ndio zinaenda kutua kwenye majengo public huko Kiev halafu blame inaenda Russia!
About 100 #Ukrainian servicemen finish training on NASAMS anti-aircraft missile systems in #GermanyMnadhani air defense ni kama bodaboda unapewa Leo mkataba kesho unaanza kuendesha?!
Ukraine wanatumia Sana vifaa vya Usovieti hata air defenses zao nyingi ni za kirusi kama S300,hizi za West kabla hawajapewa lazima wapate mafunzo jinsi ya kuzitumia ndo zinapelekwa. Ujerumani ilitangaza kuipa Ukraine mfumo wa Iris T tangu April lakini wamekuja kuwapatia mwezi wa 10,miezi sita baadae. Hii ina maanisha muda wote huo hua ni mafunzo jinsi ya kuoperate hiyo mifumo.
Tukija kwenye mada sasa
NASAMS bado hazijaingia rasmi Ukraine japo Marekani imeshawapatia,wanajeshi wa Ukraine wapo Norway wanajifunza jinsi ya kuzitumia. Zitapelekwa mbili mwezi huu na sita nyingine baadae Sana, Uingereza imejitolea kuipa Ukraine interceptor mission 100 Kwa ajili ya NASAMS, Marekani haijasema itatoa ngapi.
Several dozen Ukrainian air defense troops are completing training in Norway on how to use the sophisticated National Advanced Surface-to-Air Missile Systems, known as NASAMS, paving the way for the delivery of the first systems to Ukraine in the next several days, American officials said on Tuesday.
Norwegian trainers have been working with fewer than 100 Ukrainian forces for the past couple of weeks, teaching them how to operate and maintain the system and its associated ammunition, the officials said
Ukrainian officials for weeks urged Western countries to provide more advanced defensive weapons systems as Russia ramped up its missile and exploding drone bombardment of Ukraine’s electrical grid and other critical infrastructure. The United States promised to send two NASAMS to Ukraine right away and six more in the next few years.
“We have been pressing hard to get them a NASAMS capability,” Defense Secretary Lloyd J. Austin III told reporters on Thursday, noting that he expected the first two systems to arrive in Ukraine with their trained operators in early November.
A senior Defense Department official said on Monday that the first two systems would be in Ukraine “in the very near future.”
Russia-Ukraine War: Russia Broadens Push to Relocate Civilians as Battle for Kherson Looms
Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi.
=======
US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon
Amid an onslaught of Russian drones and missiles, Kiev has been asking Washington for NASAMS for weeks
The US will send an initial two NASAMS air defense systems to Ukraine “in the very near future,” a Pentagon official said on Monday. With Russia targeting Ukrainian power infrastructure using missiles and drones, Kiev has lobbied the West for better air defense weaponry.
=========
Taarifa hii imelenga kudanganya kuwa ukraine imepigwa kwa sababu haina air defenses nzuri za marekani zinazoitwa NASAM (National Advanced Surface to Air Missile System). Kwa hiyo imelenga kuonyesha kuwa itakapopelekwa hiyo NASAM missiles na drones za urusi zitakuwa zinatunguliwa sana!! Marekani wameamua kudanganya hivyo kwa sababu wanaamini kuwa watu ni wasahaulifu sana na hawawezi kukumbuka kuwa hizo NASAM tayari zilishapelekwa Ukraine muda mrefu na hazikufua dafu!! Missiles na drones za urusi zinajipigia tu kama zinavyotaka!! Ushahidi wa aliyepigwa huwa ni nundu usoni!! Hali ni mbaya ukraine! Ushahidi kuwa tayari NASAM za marekani ziko nchini ukraine tarehe 26/09/2022 huu hapa:
Ukraine receives advanced US air defense systemUkraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]![]()
President Volodymyr Zelenskyy said in an interview broadcast on Sunday (25 September) that Ukraine had received sophisticated air defence systems from the United States.
It was the first acknowledgment that Ukraine had received the National Advanced Surface-to-Air Missile System (NASAMS), long sought by Kyiv and whose shipment was approved by Washington late last month.
“We absolutely need the United States to show leadership and give Ukraine the air defence systems. I want to thank President (Joe) Biden for a positive decision that has been already made,” Zelenskyy said, according to an English-language transcript of the interview.
=========
Ukweli ni kwamba silaha za MAREKANI na NATO kwa Ujumla zimeshindwa kabisa kumng'oa Urusi toka ukraine au kumlinda Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi!! Mbumbumbu watakuja hapa na kutamba, Marekani anapeleka ulinzi wa anga Ukraine, Missiles na drones za Urusi zitapukutishwa!! Kumbe zilishapelekwa zaidi ya mwezi mzima uliopita na hazikufua dafu!