Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

Na kama Makonda anasoma hizi post unalo baba hakuna mema yoyote unayoweza kusema....... ulizid ufirauni sana ona sasa akili huna zaidi ya kushake well you big ass like a girl
 
Anaitwa na mahakama na hajawahi kwenda. Aache masadharau. Huko ni kuvunja sheria kwa hali ya juu. Kiburi kinasaidia nini kwenye haya maisha?
 
Atavuna tu alichopanda.

Na asipo jishusha na kuiomba radhi jamii, yatakayompata wengi wataona ni stahili yake.
Likimtokea hilo unalojaribu kuliumba moyoni mwako, Baada ya hapo ipo faida gani mkuu!

Kuua mtu aliyekuwa muuwaji, kwa anayeua hana faida Ila kuvuna dhambi na kujaribu kulipiza deni isiyo ya mtu isipokuwa ni ya yule aliyetoa uhai!

Mwenye dhambi akitubu, malaika hushangilia mbinguni, Je, mwenye dhambi akiuwawa na watu wanaodhani wao ni wema mbele za Mungu kwa kulipiza kwa kile kinachitwa yeye ni mtenda dhambi sana,

Mbinguni hufanyika kitu gani?

Ndugu, waweza kuuwa mtu na ukasema umekomesha, siyo kweli, hujakomesha, Bali umejikomesha mwenyewe, na ukumbuke, ni muda mfupi tuu na wewe utakufa na mtakutana huko huko,

Pia hiyo dhambi inakawaida ya kutafuna kizazi isipotubiwa, Unawaza nini juu ya kizazi chako kwa dhambi ya mauwaji kutoka kwenye shina?

Kuuwa mtu anayedhaniwa ni mwenye dhambi ni kubeba laana isiyostahili kwa kumuuaji,

Kisasi ni cha Bwana Mungu wetu,
 
Makonda hajatubu.
Hivyo unalomtetea ni batili.
 
Toba! Mengi tutayasikia!
 
Maisha yanakwenda kasi sana
Yeye ndiye aliyemuua ben Sanane.
Yeye ndiye aliyekuwepo wakati Tundu antipas mughwai lisu anapigwa risasi pale dodoma.
Atakufa kwa kihoro! Yaani james delicious amuue yule kwa kosa gani? Yeye si alisema ushoga umeisha? Sasa hao wanaotaka kumua ni kinanani???
 
Dah! Mkuu yaani hutaki kumuhurumia na kumsamahe kiongozi wetu??
 
Makonda hawezi sameheka kama hajamfuata mzee wa Rioba na kumlilia amsamehe!!.
 
Makonda hawezi sameheka kama hajamfuata mzee wa Rioba na kumlilia amsamehe!!.
Hapana, ANASAMEHEKA kama ambavyo wewe ulisameheka..

Ugumu wa mwanadamu huwa ni kutii na kunyenyekea na kujishusha. Kwa kufanya haya, huwa tunadhani tutaonekana wanyonge na wajinga mbele za WATU..

Akiweza kuacha kuwapendeza wanadamu (kiburi) na akaamua kumpendeza Mungu muumba wake, MUNGU atamsamehe bila shaka bila kujali dhambi gani (kubwa au ndogo) alitenda..!!
 
Kubwa kwa Makonda ni MSAMAHA basi mengine atengeneze na aliowakosea na kurudia Mwenyenzi MUNGU basi.

Absolutely, YES..

Hapa ndipo ulipo ugumu wa mwanadamu..

Unajua kumwambia uliyemkosea "NISAMEHE" huwa ni ishara ya kujishusha na unyenyekevu...

Binadamu wengi hatutaki kujishusha. Binadamu ni kiumbe chenye tabia ya UBINAFSI. Wakati wote huwa tunataka kujiinua na kutafuta kila njia wengine wote watuinue, watusifu, watubariki..

Huu unaitwa UBINAFSI na tabia hii hizaa KIBURI..

Na hiki ndicho kitakachokosesha wengi kuuona na kuishi Ktk UFALME WA MUNGU..
 
Shida ipo hapa!!
Ukifanya hivyo, nenda hatua moja mbele. Chukua ujasiri wa kuonana na wote uliowaumiza wakati ukiwa na madaraka ya kiserikali. Waambie NISAMEHENI niliwakosea. Ni ngumu lakini ndiyo njia ya kupona kwako. Huna njia nyingine..

Mimi Ndugu yake Ben Saa 8 nimejitolea kwa Moyo mweupe nitaamua kukupeleka hadi kwa Mzee Focus familia ya Ben Saanane hata ukitaka kesho!! Wewe kiri tu kuwa unahusika na mauaji yake hata kama huwezi kujua maiti mlitupa wapi au mlimlisha mamba si shida! Wazazi watarithika ninawafahamu sana!

✓Ukimaliza hatua hiyo, rudisha kila mali au vitu vya watu uliyochukua kwa nguvu Pasipo ridhaa yao wakati ule ulipokuwa na mamlaka na madaraka ya serikali..

Wale waarabu wa GSM wameshaanza kudai haki zao! usipige kelele warudishie kimya kimya
Hakikisha unawatafuta na wengine uwape magari yao. Ndugu yangu anasa za damu au dhulma zitakutesa!!

✓ Kumbuka machozi ya uliowaumiza na kuwanyanyasa na kuwanyang'anya [kuwaibia kwa nguvu] vitu walivyovipata kwa kufanya kazi zao halali kwa sababu tu walikupinga au mlitofautiana nao yamemfikia Mungu na hayo ndiyo yanayozalisha ghadhabu ya Mungu na hasira za Mungu kuku - torment wewe..

Wewe Daudi Albert Bashite anza na kukana jina la Makonda tumia jina lako halisi. Nimepata uvuvio kuwa unaweza kuongoza Reconcilliation and truth committee vizuri sana ukianzia kwako.
Unaonywa usipuuze huu ujumbe kutoka kwa Muumbaji wako!! ukiupuuza ninakuapiza kwa Mungu aliye hai hutodumu kwa robo mwaka nyingine. Mungu anaenda kukushukia kwa hasira kuu. TUMIA FURSA HII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…