Raha yoote iko kwenye makeup! Yaani kuna saa unatamani ugomvi ili mpatane. Raha yake ukute anaejua kumbembeleza. Kama wewe hujui kubembeleza usimtese mtoto wa watu, muache aende zake.
kwa umri huo wa 37years ni hormonal changes anelekea kwenye menopause kaka
so takecare.
kudeka.com! Kama mwanaume hajui kubembeleza inakuwa kununiana.com! Ila kununa c vzur wadada! Tuwe wawaz kama m2 kakukera unamwambia hakuelew bora ugeuke mzungu unampa vbao vya shav vwil! Mwenyew atajbeba mbele ya safar!
huwa tunaona tumewakomesha sana....na ukibembeleza basi roho kwatuu....yaani burudani....
ila ongea nae mwambie hupendi.....
we si unajiita mtotowamjini wenzako wa mjini wanajua polekuzira ndio nini? ni kiswahili hiki?
we si unajiita mtotowamjini wenzako wa mjini wanajua pole
Tata binafsi huwa sioni kama hili ni tatizo sana kwani kuzira ni tabia aliyonayo binadamu kuonyeha hajaridhika/hajafurahishwa na jambo au kitu fulani. Tofauti ni namna ya kui-express na ku-deal nayo. Na hii haiko kwenye mapenzi tu, hata madaktari walizira
Kwangu mimi njia nzuri ya kuiepusha kuzira ni ku-deal na source (mara nyingi ni maudhi), wala siyo kumkaripia eti kwa kuwa amezira ili hali ana-express dissatisfaction yake!
Oooho! kumbe uliuliza kina dada tu, samahani sikusoma vizuri nikajikuta nimeishaandika!
Tabia hii ina ni kera sana
Sometimes tunanuna bila sababu tu ili tujue kama mnajua kubembeleza?:smile-big:
Mkuu nilikuwa sijui kumbe kuna wanaume nao wanaingia kwenye menopause? Mimi nilidhani ni mambo ya kinamama hayo. Huyu wa 37 atakuwa na matatizo binafsi kwani hata kile kipindi cha mid-life crisis kinachowakumba wanaume hajakifikia.
hahaha hakuna cha menopause bali ni tabia na hulka yake!!
Uzire bila sababu halafu nikubembeleze....!To hell. . . !!!!!!!!
Mimi wife akizira na mie huwa nazira...mwiho wa siku analegeza mwenyewe.... si unajua tena hawa viumbe walivyo laini
one night tu... Huduma ikisitishwa........kwa wastani huwa analegeza msimamo baada ya muda gani ndugu yangu?