Hii ni kwa mafundi wa hesabu tu!

Hii ni kwa mafundi wa hesabu tu!

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Habari wakuu,

Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,)

Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe

Member citizen..,natambua uwezo wako wa hesabu naomba majibu mkuu
 
Nikajua Kuna hesabu iliyokushinda, kumbe Kuna ujinga.

Kama vipi badili title iwe KWA MAGWIJI WA MIKEKA.

kwa heading ulivyoandika, na content iliyo ndani, umetutukana wanamahesabu
Pamoja na yote,

Nadhani umeelewa,unaweza jibu pia
 
Ee mwenyezi MUNGU okoa hiki kizazi maana Hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom