Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Probability hiyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nicheze match 5 , ila option 4 badala ya 3, je natakiwa kucheza mikeka mingapi,ili mmoja utoe?Hujaeleweka unahitaji nn, kama ni odds 5 kwa hzo option 4 or idadi ya mikeka
Sisonisa mbeee.. ,ekambe ekambe, nip hapa Nkwenshoo...,Probability hiyo mkuu
Leta majibuSasa hivi binomial theorem akaja sasa yule kuku sio yule mkubwa Ila hapo hapo Magomeni njia ya Kigogo karibia kabisa hutaelewa.
Akasema haitawezekana till further notice.
Thanks,Sijui sana kuhusu hiyo chaguzi draw cap maana si mtaalamu sana wa kubeti japo nimemuelewa mdau aliyenielewesha kuihusu hapo juu.
Ila kama ingekuwa unahitaji kubashiri Yale matokeo matatu tu(nyumbani,ugenini na sare) ingekuwa hivi;
Mechi ya kwanza ikiisha matokeo yanayowezekana ni ya aina tatu.Mfano kuna mechi kati ya Arsenal na Tottenham.Hapo chaguzi zilizopo ni Arsenal win/Tot lose,Draw na Arsenal lose/Tot win.
Sasa chukulia unataka ubashiri mechi mbili;
Arsenal vs Liverpool na Tottenham vs Chelsea. Chaguzi zitakuwa hivi;
Mkeka wa 1,Ars win & Tot win. Wa 2,Ars draw & Tot draw. Wa 3,Ars lose&Tot lose. Wa 4,Ars win & Tot lose. Wa 5,Ars lose & Tot win. Wa 6,Ars draw & Tot lose. Wa 7,Ars draw & Tot win. Wa 8,Ars win & Tot draw. Wa 9,Ars lose & Tot draw.
Kwa hiyo kama unavyoona kwa mechi moja ili ujihakikishie ushindi wa kula mkeka mmoja ni lazima ubashiri mikeka mitatu.Kwa mechi mbili ili ujihakikishie ushindi wa mkeka mmoja lazima ubashiri mikeka tisa.Hivyo formula ipo hivi;
Mechi moja=3¹=3.
Mechi mbili=3²=9.
Mechi tano=3^5=243.
Hivyo yafaa ubashiri mikeka 243!
242 lazima ichanike na mmoja lazima ule.
1024!Vipi k
Thanks,
Vipi kwa option 4
Sawa mama mkwe, mfundishe mwanao anisaidieUngeweka jitihada shule kweny somo la namba
usingekuwa unatusumbua na nyuzi zako za kamari hapa
Arrangement?1024!
kuwa serious my sister basSawa mama mkwe, mfundishe mwanao anisaidie