FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hili swali halina lengo la kujenga hoja bali kuvuruga majadiliano, nasisitiza, hii nguvu itumike mahala sahihi, tunaweza kusonga mbele kama waTanzania.Taifa lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali halina lengo la kujenga hoja bali kuvuruga majadiliano, nasisitiza, hii nguvu itumike mahala sahihi, tunaweza kusonga mbele kama waTanzania.Taifa lipi?
labda uzifuate kwenye opt. ya over and under, away win and home win, first half draw tofauti na hapo huwezi toboa ni pagumu sanaHabari wakuu,
Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,)
Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe
Hutaweza kuiweka yoteEbu weka inapangikaje?
Inawezekana,Hutaweza kuiweka yote
Nataka option 4 kama unaweza arrangements nisaidielabda uzifuate kwenye opt. ya over and under, away win and home win, first half draw tofauti na hapo huwezi toboa ni pagumu sana
Kama hauna majibu..,ni bora ukae kimya tuHili swali halina lengo la kujenga hoja bali kuvuruga majadiliano, nasisitiza, hii nguvu itumike mahala sahihi, tunaweza kusonga mbele kama waTanzania.
ngoja niingie mzigoni, nakutumia pm mkekaNataka option 4 kama unaweza arrangements nisaidie
DroneHutaweza kuiweka yote
Majibu ya kitu gani? Nimechangia mada kwa perspective yangu mimi, na sikuwa nje ya mada, sasa ulileta bandiko ili watu tukae kimya? Au tuwe na mtazamo sawa na wako ni lazima? Nasisitiza, hizi nguvu za kusuka mikeka zikielekezwa sehemu sahihi na zikatumika ipasavyo tunaweza tukapiga hatua kama nchi.Kama hauna majibu..,ni bora ukae kimya tu
Upige hatua,wakati wenye nchi wenyewe wanampangia SHONDA AJIRA 197,ANZA KUWAAMBIA HAO kwanzaMajibu ya kitu gani? Nimechangia mada kwa perspective yangu mimi, na sikuwa nje ya mada, sasa ulileta bandiko ili watu tukae kimya? Au tuwe na mtazamo sawa na wako ni lazima? Nasisitiza, hizi nguvu za kusuka mikeka zikielekezwa sehemu sahihi na zikatumika ipasavyo tunaweza tukapiga hatua kama nchi.
Kwanza draw ya cap inamaanisha nn?Inawezekana,
Nipe majibu..,ya swali sio kutoa conclusion ya swali
Wale wa probabilityHabari wakuu,
Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,)
Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe
Member citizen..,natambua uwezo wako wa hesabu naomba majibu mkuu
Kuna event 100 ambazo zitatokea moja lazima iwe sawaHabari wakuu,
Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,)
Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe
Member citizen..,natambua uwezo wako wa hesabu naomba majibu mkuu
Nipangie arrangementKuna event 100 ambazo zitatokea moja lazima iwe sawa
Umekaa ukaona uje ya content ya kututukana mathematicianHabari wakuu,
Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,)
Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe
Member citizen..,natambua uwezo wako wa hesabu naomba majibu mkuu
Wewe sio mathematicianUmekaa ukaona uje ya content ya kututukana mathematician
tunaihitaga capethrew ( 1:0 or 0:1)Kwanza draw ya cap inamaanisha nn?