Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Kwaiyo ndio kale kamsemo ka riziki mafungu saba eet
 
Safi Sana Diamond mtanzania mwenzetu kwa kutoa ajira kwa walinzi .
 
Kibiashara yupo sahihi kabisa, lazima ujikuze kuongeza thamani. Kiusalama hakuna kitu hapo.
Kiusalama pia muhimu nakumbuka kuliwahi tokea mtafaruku wa saida karoli Kati ya mapromota wawili mmoja akamshikilia saida karoli akashindwa kufanya onyesho Uganda .Watu waweza mteka wakadai mamilioni .Diamond Ni international figure hawezi tembea bila walinzi
 
ukiwa huna shida ya kula utahitaji ulinzi madhubuti, ila kama hela ya dona ni shida hapo utaona upuuzi tu. Acha hela itumike kwa kadri mwenyenazo anavyopenda
Tena mwambie mleta mada kijana wetu domo aliulizwa kuhusu uwanja a.k.a Alena aliyopafomu huko kwa mabeberu kwamba vipi... Alijibu "... serikali ikimruhusu anaweza kujenga kama ile"
 
Hizo redio call wamebeba kama pambo tu, maana hizo redio call zina limitations, mnara hauwezi kuwa madale wako moshi wawasiliane, huwa zinakumika na kampuni za ulinzi na polisi,mining etc...but wa moshi hawezi wasiliana na control room ya dar kulingana na umbali, Wasitufanye wajinga ,Wapeleke ushamba wao huko!
 
Kwa hali ya sasa ni vizuri mtu ukajilinda. Binadamu wamekuwa na roho mbaya sana, vijicho.
Upo sahihi kabisa yani watu hawafai.
Mi mwenyewe nikiwa na hela ulinzi kila kona.
Yani israel tu ndio anichukue sio malofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…