Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Hivi Diamond platinum na Bakhresa nani mwenye hela nyingi? Sababu bakhresa ana bodyguard mmoja tu na akitoka kusali ombaomba wanavyo mzunguka hatari. Juzi nilikuwepo zenji nikakutana na mdogo wake Salum Bakhresa anaitwa Ahmed Bakhresa yupo peke yake hana hata rafiki achilia bodyguard. Ukipata pesa itumie lakini usiitumie kishamba


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Mtu kumpa mtu riziki usimwite anatumia kishamba. SI lazima kila mtu agawe pesa kwa maskini Kama Bakhresa waweza toa ajira ya muda mrefu au mfupi hata masaa .Mtu anayempa mtu riziki usimwite anatumia pesa kishamba mwenzio anavuna baraka kwa mwenyezi Mungu kwa riziki anazowagawia hao walinzi nk Wewe unayekumbatia pesa zako na unazitumia kimya kimya Mbona hata kujulikana hujulikani hata Kama unazo? Choka mbaya wewe.Bakhresa anatoa riziki kwa kuajiri watu wengi kwa muda mrefu na mfupi kwenye biashara zake na Diamond naye kwa kiwango alichojaliwa anatoa riziki kwa mabody guard nk SI haba. Mwenyezi Mungu amwongezee zaidi utajiri wake ili aendelee kutoa riziki kwa wengi zaidi .Naomba ufute huo usemi wako wa kusema diamond anatumia pesa kishamba wakati anawapa riziki watu kwa kazi za u body guard
 
Hao maboya wenzao si welichezea kichapo mwaka juzi kule mbopo wakiwa wamejaa costa, wanakijiji waliwachapa mapanga na misuli yao ya Gym, hao mapoyoyo tu hakuna anyejua Krav maga wala Tai kindo hapo
Ushasema wamekuja na mapanga.
 
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?

Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?

Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...

View attachment 1185376
Kwani kuna tatizo gani kuwa na walinzi ?
 
Umenikumbusha majuzi kati hapo bodyguard wa future alichezea vikombe kama mtoto mdogo
 
ukiwa huna shida ya kula utahitaji ulinzi madhubuti, ila kama hela ya dona ni shida hapo utaona upuuzi tu. Acha hela itumike kwa kadri mwenyenazo anavyopenda
Ok ndio maana Mo alitekwa wakati hana bodyguard, kupitia comment nimejua sababu
 
Hao jamaa wanaendesha familia zao kupitia huyo mwanamziki, aweke hata kumi ikiwezekana.
Mkuu Kuna baadhi ya watanzania Wana roho mbaya mtu asijipatie riziki Yake .Ajira ni ajira mtu uajiriwe bouncer kazi ni kazi unatakiwa ujivunie kazi yako.Na hata mtu akikuuliza unafanya kazi gani Wala mtu hutakiwi kuogopa Wala kuona haya unajibu mimi bouncer wa diamond au bodyguard.Be proud of your job
 
Ali Kiba anatumia more than billion $ kwaajili ya security.....

*Ali Kiba analindwa na drones operating near King Kiba will shut down or automatically land when they come within range of the spoofer.

*Is Tricking GPS to Protect King Kiba..
Ghafla nimekumbuka ubishi kati ya Jackie Chan na Chris Tucker kuhusu ushujaa wa baba zao maaskari kwenye muvi ya Rush Hour.....hahahahahaha
 
Nijuze sababu ya Mungu mkuu kuzungukwa na makerubi.
Mimi siwezi kuweka maneno kwenye kitu ambacho muhusika hajasema, wewe umemesemea kwamba sababu ni kulindwa hayo ni maneno yako; ila yeye hajasema kama analindwa au ni kwa sababu gani anazungukwa. Hajatoa sababu ya yeye kufanya hivyo, ila kwa mawazo yetu sisi tunaweka kama tunavyofikiri sisi.
 
Hivi Diamond platinum na Bakhresa nani mwenye hela nyingi? Sababu bakhresa ana bodyguard mmoja tu na akitoka kusali ombaomba wanavyo mzunguka hatari. Juzi nilikuwepo zenji nikakutana na mdogo wake Salum Bakhresa anaitwa Ahmed Bakhresa yupo peke yake hana hata rafiki achilia bodyguard. Ukipata pesa itumie lakini usiitumie kishamba


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Tatizo letu kubwa sisi wenye kipato cha chini ni kutoa povu juu ya matumizi ya wenye fedha badala ya kukomaa na mbinu gani matajiri wanatumumia kupata fedha, hapo ndipo tunapokwama
 
Umenena niliyotaka kusema
Mimi huwa nafurahi Sana nikiona mtu ana walinzi wengi awe kiongozi,mwanamuziki nk sababu kubwa Ni kuwa ka create ajira.Hao hawamzunguki bure wanalipwa .Kaongeza kipato Chao na hela kwenye mzunguko.Wakitoka hapo fresh mfuko umetuna hela.
 
Tatizo letu kubwa sisi wenye kipato cha chini ni kutoa povu juu ya matumizi ya wenye fedha badala ya kukomaa na mbinu gani matajiri wanatumumia kupata fedha, hapo ndipo tunapokwama
Mtu anajitia mtaalamu wa kushauri mwenye pesa Kama Diamond atumiaje pesa zake wakati yeye mwenyewe choka mbaya lofa mkubwa!!! Acha mwenye pesa ajiachie after all anajua kuzitafuta.Kuna msemo unasema mwache mchaga alewe atakavyo anajua kutafuta pesa kesho anajua ataipata wapi pesa ingine.Usimhofie.
 
Ali Kiba anatumia more than billion $ kwaajili ya security.....

*Ali Kiba analindwa na drones operating near King Kiba will shut down or automatically land when they come within range of the spoofer.

*Is Tricking GPS to Protect King Kiba..
😂😂 Floyd tu hafanyi hivyo
 
Back
Top Bottom