Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kumpa mtu riziki usimwite anatumia kishamba. SI lazima kila mtu agawe pesa kwa maskini Kama Bakhresa waweza toa ajira ya muda mrefu au mfupi hata masaa .Mtu anayempa mtu riziki usimwite anatumia pesa kishamba mwenzio anavuna baraka kwa mwenyezi Mungu kwa riziki anazowagawia hao walinzi nk Wewe unayekumbatia pesa zako na unazitumia kimya kimya Mbona hata kujulikana hujulikani hata Kama unazo? Choka mbaya wewe.Bakhresa anatoa riziki kwa kuajiri watu wengi kwa muda mrefu na mfupi kwenye biashara zake na Diamond naye kwa kiwango alichojaliwa anatoa riziki kwa mabody guard nk SI haba. Mwenyezi Mungu amwongezee zaidi utajiri wake ili aendelee kutoa riziki kwa wengi zaidi .Naomba ufute huo usemi wako wa kusema diamond anatumia pesa kishamba wakati anawapa riziki watu kwa kazi za u body guardHivi Diamond platinum na Bakhresa nani mwenye hela nyingi? Sababu bakhresa ana bodyguard mmoja tu na akitoka kusali ombaomba wanavyo mzunguka hatari. Juzi nilikuwepo zenji nikakutana na mdogo wake Salum Bakhresa anaitwa Ahmed Bakhresa yupo peke yake hana hata rafiki achilia bodyguard. Ukipata pesa itumie lakini usiitumie kishamba
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Thibitisha kwanza wewe Kama mama yako anayesemekana kuwa alikuzaa una uhakika Ni yeyeKwanza thibitisheni Mungu yupo.
Ushasema wamekuja na mapanga.Hao maboya wenzao si welichezea kichapo mwaka juzi kule mbopo wakiwa wamejaa costa, wanakijiji waliwachapa mapanga na misuli yao ya Gym, hao mapoyoyo tu hakuna anyejua Krav maga wala Tai kindo hapo
bila shaka Wewe ndiye mama yakeThibitisha kwanza wewe Kama mama yako anayesemekana alikuzaa una uhakika Ni yeye
bila shaka Wewe ndiye mama yake
Kwani kuna tatizo gani kuwa na walinzi ?Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?
Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?
Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...
View attachment 1185376
Ok ndio maana Mo alitekwa wakati hana bodyguard, kupitia comment nimejua sababuukiwa huna shida ya kula utahitaji ulinzi madhubuti, ila kama hela ya dona ni shida hapo utaona upuuzi tu. Acha hela itumike kwa kadri mwenyenazo anavyopenda
Mkuu Kuna baadhi ya watanzania Wana roho mbaya mtu asijipatie riziki Yake .Ajira ni ajira mtu uajiriwe bouncer kazi ni kazi unatakiwa ujivunie kazi yako.Na hata mtu akikuuliza unafanya kazi gani Wala mtu hutakiwi kuogopa Wala kuona haya unajibu mimi bouncer wa diamond au bodyguard.Be proud of your jobHao jamaa wanaendesha familia zao kupitia huyo mwanamziki, aweke hata kumi ikiwezekana.
Ghafla nimekumbuka ubishi kati ya Jackie Chan na Chris Tucker kuhusu ushujaa wa baba zao maaskari kwenye muvi ya Rush Hour.....hahahahahahaAli Kiba anatumia more than billion $ kwaajili ya security.....
*Ali Kiba analindwa na drones operating near King Kiba will shut down or automatically land when they come within range of the spoofer.
*Is Tricking GPS to Protect King Kiba..
Nijuze sababu ya Mungu mkuu kuzungukwa na makerubi.Umechanganya Mkuu, Mungu amezungukwa na Makerubi kwa ajili ya Ulinzi? Unajua sababu ya Mungu kuzungukwa?
Mimi siwezi kuweka maneno kwenye kitu ambacho muhusika hajasema, wewe umemesemea kwamba sababu ni kulindwa hayo ni maneno yako; ila yeye hajasema kama analindwa au ni kwa sababu gani anazungukwa. Hajatoa sababu ya yeye kufanya hivyo, ila kwa mawazo yetu sisi tunaweka kama tunavyofikiri sisi.Nijuze sababu ya Mungu mkuu kuzungukwa na makerubi.
Tatizo letu kubwa sisi wenye kipato cha chini ni kutoa povu juu ya matumizi ya wenye fedha badala ya kukomaa na mbinu gani matajiri wanatumumia kupata fedha, hapo ndipo tunapokwamaHivi Diamond platinum na Bakhresa nani mwenye hela nyingi? Sababu bakhresa ana bodyguard mmoja tu na akitoka kusali ombaomba wanavyo mzunguka hatari. Juzi nilikuwepo zenji nikakutana na mdogo wake Salum Bakhresa anaitwa Ahmed Bakhresa yupo peke yake hana hata rafiki achilia bodyguard. Ukipata pesa itumie lakini usiitumie kishamba
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Acha kupotoshaMungu mwenyewe kiti chake kimezungukwa na makerubi, jiulize Mungu ana haja ya kulindwa? Vipi kwa binadamu?
Mimi huwa nafurahi Sana nikiona mtu ana walinzi wengi awe kiongozi,mwanamuziki nk sababu kubwa Ni kuwa ka create ajira.Hao hawamzunguki bure wanalipwa .Kaongeza kipato Chao na hela kwenye mzunguko.Wakitoka hapo fresh mfuko umetuna hela.
Mtu anajitia mtaalamu wa kushauri mwenye pesa Kama Diamond atumiaje pesa zake wakati yeye mwenyewe choka mbaya lofa mkubwa!!! Acha mwenye pesa ajiachie after all anajua kuzitafuta.Kuna msemo unasema mwache mchaga alewe atakavyo anajua kutafuta pesa kesho anajua ataipata wapi pesa ingine.Usimhofie.Tatizo letu kubwa sisi wenye kipato cha chini ni kutoa povu juu ya matumizi ya wenye fedha badala ya kukomaa na mbinu gani matajiri wanatumumia kupata fedha, hapo ndipo tunapokwama
😂😂 Floyd tu hafanyi hivyoAli Kiba anatumia more than billion $ kwaajili ya security.....
*Ali Kiba analindwa na drones operating near King Kiba will shut down or automatically land when they come within range of the spoofer.
*Is Tricking GPS to Protect King Kiba..