Wewe unawaza utimu wenu basiAli Kiba anatumia more than billion $ kwaajili ya security.....
*Ali Kiba analindwa na drones operating near King Kiba will shut down or automatically land when they come within range of the spoofer.
*Is Tricking GPS to Protect King Kiba..
Atakuwa kaiga toka uongozi wa juu wa Nchi.Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?
Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?
Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...
View attachment 1185376
Basi tuseme AMENNdio mwenyezi Mungu ana njia nyingi za kugawia riziki Wana wake
Mmmmmmm mm yale Yale ya mtu anakanyaga kwa mguu Kutoka ferry alikonunua samaki anatembea kwa miguu huku kajitwika kapu lake la samaki hadi mbagala hapandi hata daladala kachoka halafu anasema ana hela ila hataki kujionyeshaAlikiba ana walinzi wake sema hapendi kujionyesha
Alikiba ana show nyingi sema hapendi kujionyesha anafanyia ghetoMmmmmmm mm yale Yale ya mtu anakanyaga kwa mguu Kutoka ferry alikonunua samaki anatembea kwa miguu huku kajitwika kapu lake la samaki Hadi mbagala hapandi hata daladala kachoka halafu anasema ana hela ila hataki kujionyesha
ππππππAlikiba ana show nyingi sema hapendi kujionyesha anafanyia gheto
Mo Dewji katekwa kwa kukisa ulinzi, watu wakalaumu kwa nini tajiri kakosa ulinzi.
Msanii kajiwekea ulinzi, watu wanalaumu kwa nini kajiwekea ulinzi.
Vyovyote utakavyofanya watu watalaunu.
Bora uishi unavyotaka, wakikulaumu iwe kwa sababu unefanya kitu unataka.
Kuna matajiri wabahili balaa Yaani kuajiri hata muosha gari sehemu akipaki ampe hata elfu Moja tu amwoshee hayuko tayari.Kahela ambako kangeongeza mzunguko kwa mosha gari kupata hela ya chai Mia tano kunywa kwa mama nitilie na nauli Mia tano.Mwacheni diamond aendeleeJe umemuona Mo na hao walinzi?
Hivi Diamond platinum na Bakhresa nani mwenye hela nyingi? Sababu bakhresa ana bodyguard mmoja tu na akitoka kusali ombaomba wanavyo mzunguka hatari. Juzi nilikuwepo zenji nikakutana na mdogo wake Salum Bakhresa anaitwa Ahmed Bakhresa yupo peke yake hana hata rafiki achilia bodyguard. Ukipata pesa itumie lakini usiitumie kishambaukiwa huna shida ya kula utahitaji ulinzi madhubuti, ila kama hela ya dona ni shida hapo utaona upuuzi tu. Acha hela itumike kwa kadri mwenyenazo anavyopenda
mdanganye uone kama hajapigwa na mwarabu fighterZirael akiamua kufanya yake,hakuna wa kumzuia.
Tena bonge la kimba[emoji23][emoji23][emoji23]Zinasaidia wakati mwingine...
Hapo hata kama Mtu alikuwa na nia ovu... Anarudi kwao anaku..nya then analala.
Hapo ni Rwanda mkuu sio MoshiHizo redio call wamebeba kama pambo tu, maana hizo redio call zina limitations, mnara hauwezi kuwa madale wako moshi wawasiliane, huwa zinakumika na kampuni za ulinzi na polisi,mining etc...but wa moshi hawezi wasiliana na control room ya dar kulingana na umbali, Wasitufanye wajinga ,Wapeleke ushamba wao huko!
π π π π π π π π π πAcha alindwe, Kanisani tu penyewe wanaweka wailinzi, kwa nini wasimuachie Bwana alinde? Unaloweza kufanya fanya hata Mungu ndo anavyotaka ndo maana alitupa akiri. Tusivyoviweza yeye atatufanyia. Big up sana Domo.
Umechanganya Mkuu, Mungu amezungukwa na Makerubi kwa ajili ya Ulinzi? Unajua sababu ya Mungu kuzungukwa?Mungu mwenyewe kiti chake kimezungukwa na makerubi, jiulize Mungu ana haja ya kulindwa? Vipi kwa binadamu?
Je umemuona Mo na hao walinzi?
Mo alichukuliwa na fido dido kwa sababu anazozijua yeye
Kwanza thibitisheni Mungu yupo.Umechanganya Mkuu, Mungu amezungukwa na Makerubi kwa ajili ya Ulinzi? Unajua sababu ya Mungu kuzungukwa?