Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Sikuhizi kumezuka tishio la watu wanaojiita wasiojulikana,siyo vibaya kujiwekea ulinzi madhubuti Kama nafasi yako inaruhusu,naunga mkono Mond kujiwekea ulinzi.
 
Ali Kiba anatumia more than billion $ kwaajili ya security.....

*Ali Kiba analindwa na drones operating near King Kiba will shut down or automatically land when they come within range of the spoofer.

*Is Tricking GPS to Protect King Kiba..
Wewe unawaza utimu wenu basi
 
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?

Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?

Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...

View attachment 1185376
Atakuwa kaiga toka uongozi wa juu wa Nchi.
 
Alikiba ana walinzi wake sema hapendi kujionyesha
Mmmmmmm mm yale Yale ya mtu anakanyaga kwa mguu Kutoka ferry alikonunua samaki anatembea kwa miguu huku kajitwika kapu lake la samaki hadi mbagala hapandi hata daladala kachoka halafu anasema ana hela ila hataki kujionyesha
 
Je umemuona Mo na hao walinzi?
Mo alichukuliwa na fido dido kwa sababu anazozijua yeye
Mo Dewji katekwa kwa kukisa ulinzi, watu wakalaumu kwa nini tajiri kakosa ulinzi.

Msanii kajiwekea ulinzi, watu wanalaumu kwa nini kajiwekea ulinzi.

Vyovyote utakavyofanya watu watalaunu.

Bora uishi unavyotaka, wakikulaumu iwe kwa sababu unefanya kitu unataka.
 
Je umemuona Mo na hao walinzi?
Kuna matajiri wabahili balaa Yaani kuajiri hata muosha gari sehemu akipaki ampe hata elfu Moja tu amwoshee hayuko tayari.Kahela ambako kangeongeza mzunguko kwa mosha gari kupata hela ya chai Mia tano kunywa kwa mama nitilie na nauli Mia tano.Mwacheni diamond aendelee
 
ukiwa huna shida ya kula utahitaji ulinzi madhubuti, ila kama hela ya dona ni shida hapo utaona upuuzi tu. Acha hela itumike kwa kadri mwenyenazo anavyopenda
Hivi Diamond platinum na Bakhresa nani mwenye hela nyingi? Sababu bakhresa ana bodyguard mmoja tu na akitoka kusali ombaomba wanavyo mzunguka hatari. Juzi nilikuwepo zenji nikakutana na mdogo wake Salum Bakhresa anaitwa Ahmed Bakhresa yupo peke yake hana hata rafiki achilia bodyguard. Ukipata pesa itumie lakini usiitumie kishamba


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hizo redio call wamebeba kama pambo tu, maana hizo redio call zina limitations, mnara hauwezi kuwa madale wako moshi wawasiliane, huwa zinakumika na kampuni za ulinzi na polisi,mining etc...but wa moshi hawezi wasiliana na control room ya dar kulingana na umbali, Wasitufanye wajinga ,Wapeleke ushamba wao huko!
Hapo ni Rwanda mkuu sio Moshi
 
Acha alindwe, Kanisani tu penyewe wanaweka wailinzi, kwa nini wasimuachie Bwana alinde? Unaloweza kufanya fanya hata Mungu ndo anavyotaka ndo maana alitupa akiri. Tusivyoviweza yeye atatufanyia. Big up sana Domo.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😁 😁 😁 😁
 
Je umemuona Mo na hao walinzi?
Mo alichukuliwa na fido dido kwa sababu anazozijua yeye


Guru alisema Suckers need bodyguards.

Na yeye siku moja watoto wa kihuni wa hapo Queens wakamuotea anatoka studio wakamfanyizia.
 
Back
Top Bottom