Hii ni kwa waajiriwa tu

Hii ni kwa waajiriwa tu

Masanjaone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
844
Reaction score
597
Jamani tunajua kila mtu saivi anasikilizia mshahara wa mwezi huu march utoke. sasa ukienda ATM yoyote usikimbilie kuingiza kadi na kubonyeza vitufe kuangalia salio. bali tumia mbinu hii kujua kama kuna hela! Hii ni wana jf tu. Usimwambie mtu.

Ukifika ATM, km kuna dust been wewe angalia kwenye dust been kama kuna vikaratasi vingi.

kama vipo angalia kama kama vimechanwa au havijachanwa! Hii maana yake nini.
1. Kama vimechanwa maana yake ujue kuna mshahara maana mtu akiacha salio huwa anachana karatasi.

Kama vimo vingi havijachanwa ujue wameondoka kwa hasira maana mtu akikikoswa hela huwa anatupa na kuondoka.

Kama hakuna dust been angalia chini kwa stail hiyo hiyo.
 
Mkumbuke kunawa kabla na baada ya kutoka ATM na kama una sanitizer zipake hela pia!
 
Mtumishi anayeishi kwa mshahara tu
Ni masikini wa kweli. Ukiwa na kabiashara ambapo kwa mwezi unapata faida ya laki 2 lazima uone Mabadiliko ya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ATM aliezidizaini kwamba itoke kwanza kadi, hafu ndionhroa ana akili sana.
Ingekua inatoka pesa ndio kadi watu wangekua wanasahau sana kadi pale.
 
Faida ya laki mbili utoe kodi ya fream, utoe mshahala wa msimamizi, 10,000 ya matumizi kila cku,

Hii maana yake mshahara ulipie pango la nyumba, ada za watoto, chakula , H-girll , mafuta ya gari yakuendea kaxini nk.
Labda km ulikuwa fisadi zamani
 
Ila ATM aliezidizaini kwamba itoke kwanza kadi, hafu ndionhroa ana akili sana.
Ingekua inatoka pesa ndio kadi watu wangekua wanasahau sana kadi pale.
Ha ha ha ha 🤣🤣🤣🤣🤣 kweli mkuu.
 
Oyaaaaaa! Wazee zimesomaaa ATM mzee baba kamwaga! Msisahau corona .
 
Back
Top Bottom