Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Jamani tunajua kila mtu saivi anasikilizia mshahara wa mwezi huu march utoke. sasa ukienda ATM yoyote usikimbilie kuingiza kadi na kubonyeza vitufe kuangalia salio. bali tumia mbinu hii kujua kama kuna hela! Hii ni wana jf tu. Usimwambie mtu.
Ukifika ATM, km kuna dust been wewe angalia kwenye dust been kama kuna vikaratasi vingi.
kama vipo angalia kama kama vimechanwa au havijachanwa! Hii maana yake nini.
1. Kama vimechanwa maana yake ujue kuna mshahara maana mtu akiacha salio huwa anachana karatasi.
Kama vimo vingi havijachanwa ujue wameondoka kwa hasira maana mtu akikikoswa hela huwa anatupa na kuondoka.
Kama hakuna dust been angalia chini kwa stail hiyo hiyo.