gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
kulikuwa kuna ulazima wowote wa wewe kutumia lugha ya matusi na maneno ya kuudhi? Acha utoto jiheshimu basi hata kidogo.We KOLO unajamba alafu unatoa na Kinyec manake nini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulikuwa kuna ulazima wowote wa wewe kutumia lugha ya matusi na maneno ya kuudhi? Acha utoto jiheshimu basi hata kidogo.We KOLO unajamba alafu unatoa na Kinyec manake nini?.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Naona maneno ni mengi kila mtu anajaribu kuongea anachokijua, hila kwa wanasimba wanaoijua football vizuri sidhani kama watakua wanaumia na matokeo haya
Wanasimba wanajua kua wapo kwenye kipindi cha mpito bado wanatengeneza timu, na wanasimba wote wanajua hichi kitu, tatizo naona lilikuja mara bahada ya Simba kushinda hizi gemu, simba waliposhinda ile gemu na walibya then na ushindi walioupata kwa Azam hizi gemu zilifanya bahadhi ya mashabiki wa simba waamini kua tayari wameshapata timu ya kuwapa vikombe na kumfunga mtani wakasahau kwamba bado wanajitafuta.
Leo naona wanatoa povu kibao mara wamulaumu mwamuzi wengine wanamlaumu kipa, ukweli ni kwamba simba bado mnajitafuta, mkijua hiki kitu kitawasaidia sana, msitake kujiweka level moja na Yanga kwa sasa hawa jamaa wamewapiga gepu.
Bado mna mda wa kutengeneza timu yenye ushindani punguzeni pressure kwa wachezaji wenu na viongozi na mtambue bado mnatengeneza timu hii itawasaidia.