Hii ni kwa wanaume wajuzi wa mambo

Hii ni kwa wanaume wajuzi wa mambo

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Habari zenu?

Swali kwamba utajuaje kama mpenzi wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika. Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli imemkolea au hapa anaigiza hana lolote. Tuambieni ili tuwe tunakuja na mbinu zote 🤣😉
 
Habari zenu?
Swali kwamba utajuaje kama mpenz wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika.Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli imemkolea au hapa anaigiza hana lolote.Tuambieni ili tuwe tunakuja na mbinu zote 🤣😉
Wewe unajisumbua tuu. Mzinzi konki anachojali yeye ni burudani yake na sio kumridhisha mwanamke. Ndio maana malaya wataendelea kuwepo maana pale watu wanataka kumwaga wadhungu tuu
 
Back
Top Bottom