Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Ni very relevant anayetafuta hashind jf dude
Kutwa kuanzisha vithread vya kutafuta umaarufu kunuka juu ya wanawake
Inaonyesha hana kazi period
Kwa hyo kama ni relevant na topic nliogusia hicho ulichokiongea Kwa hiyo hii ndo sababu inawafanya muwe mungu wa pili?

Kwa sababu kuna vijamaa vinashinda juu ya vifua vya wanawake vpo humu mda wote havina kazi ?

Hivi sjui umenielewa [emoji23] [emoji23] I quote your views na nilijaribu kujibu au ku argue na wewe based on your views uliposema

"wanawake ni mungu wa pili ""sipo interested na Mada inayoendelea humu ndani ila naona unanichanganyia mafaili kutoka Mada ya humu ndani
 
Bora hata hao wanao onesha MATUMBO yao, kuliko wale wanaocholopoa.

Inakuwaje unabahatika kukamata/kushika UJAUZITO kisha unacholopoa!?

Kuna Watu wanaomba wabahatike japo Mtoto mmoja, na hawajapata bahati hiyo.

Usiniambie kisababu chako cha MAISHA magumu.

Kama MAISHA magumu kwanini ulifanya Tendo la NDOA bila KONDOMU!
 
Back
Top Bottom