Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Kumekuwa na tabia ambayo inakuja kwa kasi sana zama hzi inawahusu nyie wanawake wajawazito. Sijui kama nitakuwa nakosea ila kwa utamaduni wetu wa kiafrica haipendezi kwakweli. Wanawake sikuhz mnatumia ujauzito kama fashion unakuta dada anapost instagram anatuonesha uchi wa tumbo lake halisi (uncovered). Anyway kupost sio tatizo why usipost ukiwa covered? Mpaka tuone tumbo lako ndio post inakua nzuri.

Ushauri kwa dada zetu jaman sio kila kitu cha kuiga na haipendezi kumbuka yule ni kiumbe umebeba kwa makusudio ya mungu, ila wewe unatumia kama fashion.

Jaman nyie mnaonaje hili suala katika jamii zetu za kiafrica ni sawa kwa mwanamke kutuonesha uchi wa tumbo lake uko kwenye social medias?? Mnasemaje?
View attachment 1142358View attachment 1142359
Wanajua hamchelewi kusema wameweka mavitambaa, wanaamua wawaonyeshe matumbo kabisa ili muamini
 
Mbona wadada wenyewe ni wakizungu sio Watz..
Achana nao Mkuu.
 
Kumekuwa na tabia ambayo inakuja kwa kasi sana zama hzi inawahusu nyie wanawake wajawazito. Sijui kama nitakuwa nakosea ila kwa utamaduni wetu wa kiafrica haipendezi kwakweli. Wanawake sikuhz mnatumia ujauzito kama fashion unakuta dada anapost instagram anatuonesha uchi wa tumbo lake halisi (uncovered). Anyway kupost sio tatizo why usipost ukiwa covered? Mpaka tuone tumbo lako ndio post inakua nzuri.

Ushauri kwa dada zetu jaman sio kila kitu cha kuiga na haipendezi kumbuka yule ni kiumbe umebeba kwa makusudio ya mungu, ila wewe unatumia kama fashion.

Jaman nyie mnaonaje hili suala katika jamii zetu za kiafrica ni sawa kwa mwanamke kutuonesha uchi wa tumbo lake uko kwenye social medias?? Mnasemaje?
View attachment 1142358View attachment 1142359
Mimi huwa nawaombea kwa aliyewaumba wafanyapo upuuzi huo basi wakati wa kujifungua wafe kwa kifafa cha mimba.
 
Mngekuwa mnatafuta kwa jasho msingelialia kila leo jf,wengi wenu mnalelewa na wanawake period
Na siwez kasirika huu ni mchezo tu
Haka ka paragraph ulichoniandikia ni irrelevant na nilichokuelewesha hayo yanatoka wapi sasa kama kunawanaolelewa it's up to them mm nlkuwa na deal na kakauli kako apo juu

Mutoto muzuri the iron butterfly
 
Utauringishia ukiwa na bwana alikutia mimba unadhani ukiwa na uhakika wa u single mother huo ujasiri wa kuturingishia unaupata wapi[emoji23][emoji23]
Dogo usipangie watu maisha awe mke wa mtu awe singo Maza maamuzi ni yake juu ya mwili wake,kwani humlish,humvish,humlipii kodi,kwanini uteseke?pambana na kibarua chako ya watu waachie
 
Haka ka paragraph ulichoniandikia ni irrelevant na nilichokuelewesha hayo yanatoka wapi sasa kama kunawanaolelewa it's up to them mm nlkuwa na deal na kakauli kako apo juu

Mutoto muzuri the iron butterfly
Ni very relevant anayetafuta hashind jf dude
Kutwa kuanzisha vithread vya kutafuta umaarufu kunuka juu ya wanawake
Inaonyesha hana kazi period
 
Wakitoka hapo wanaanza kusumbuana "Child support" mpaka mnafikishana ustawi wa jamii.
 
Back
Top Bottom