Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Watafanyaje sasa wakati akili zao zote wamezikabidhi kwenye mitandao ya kijamii, wamebaki na akili kisoda za kuvukia barabara. mwisho wa siku wanaishi kama mateka wa trend za mitandaoni.

Sio wote lakini. Wapo dada/mama zetu ambao bado wanajielewa.

Hatar sana kaz kwwl kwel
 
Uwaangalie bila kuwatafakari ndio usalama wako,vinginevyo ikifika jioni unaweza ukakuta unaumwa kichwa kwa kuwawaza,wana mambo mengi sana na huwa hayawachoshi.Tusiwalaumu wakati mwingine,ndivyo walivyoumbwa....

Mbna before haikuwa hvo?
 
Na wana style ya kuvaa vigauni vifupi mtumbo huo wanazunguka mjini
 
Back
Top Bottom