Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Mnapendeza Sana. Sasa mkuu siungetutumia nyengine amekiachia hicho kinguo au amekitoa kabisa huoni kama wengine tuna matatizo ya kuona tutajuaje kama ana mimba kweli

Mama mwenye mimba hapigiwi nyete kijana
 
Dunia ina enda kasi huwezi kuikamata we pita kama huwaoni
Uwaangalie bila kuwatafakari ndio usalama wako,vinginevyo ikifika jioni unaweza ukakuta unaumwa kichwa kwa kuwawaza,wana mambo mengi sana na huwa hayawachoshi.Tusiwalaumu wakati mwingine,ndivyo walivyoumbwa....
 
Mwenye kubeba mimba ndiye wa kuamua afanyeje na mimba yake.

Kama unapenda kuficha tumbo, beba mimba na wewe ufiche, hukatazwi.

"Mila za Kiafrika" unazosema nyingine zilikuwa zinavalisha watu vibwaya tu, kwingine kuanzia tumbo mpaka matiti watu waliacha wazi.

Naona watu wanachanganya western puritanism na mila za Kiafrika.
 
kila mtu afanye anachopenda, mimba inatafutwa kwa tabu wengine kupata si leo , acha mtu apige picha anavyojiskia kama akipost public anapata amani au kwake haina shida mwache, kila mtu ana life style yake bhn si kila kitu mnaleta tamaduni za kiafrika basi hata kutumia smart phones cyo tamadun zetu kooooo embu tupunzishe

Kuiga tu
 
Rusha na picha ya dada wa kiafrika

IMG_5731.JPG
 
Back
Top Bottom