Hii ni kwa wanawake na mademu wote bongo

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Habari,

Nina wiki tatu Tanzania kutokea South America toka nifike hapa home nimeona mambo ya ajabu sana, nimetongeza demu amenikubalia na kunipga mzinga ndani ya siku ya tatu ya mahusiano nikamuacha nikaona hafai.

Nikampata mwingine naye kanipiga mzinga wa pesa ndefu ndani week moja na now Am give up bora nioe tu mademu wa Latin America ambao wana real love hawana mizinga kama bongo jamani hata kama vyuma vimebana sikihivyo.
 
kule Argentina ,Chile na Brazil madem hawapigi mizinga siku ya tatu ya relationship angalau mwezi ndo unaweza omba kitu kwa bf wako hapa bongo wanawake mumezid yaan utafikir akijua kuwa mim ntamtongoza then nimtaturie shida zake na madem yake ya miaka tatu nyuma@ Shame on Tanzanian girls and women
 
Oi nipe mchongo mwanangu namimi nataka nizame fasi za Amazon huko kuna watoto wazuri sana waki Latino
 
Tuliza hasira bna njoo kwangu nitakupa probation ya miezi miwili
 
Oi nipe mchongo mwanangu namimi nataka nizame fasi za Amazon huko kuna watoto wazuri sana waki Latino
karibu sana man kukopoa na lugha barrier sio tatizo sana maana Spanish it is easy language to learn @ watanzania tupo kiasi hapa Argentina but when you go to Brazil specific saupaulo there many Tanzanian downthere @ vamos
 
Vamos.. Mucho gracias mi pandejo
 
Back
Top Bottom