Sijui ni from Amazon forestSouth America
Tuliza hasira bna njoo kwangu nitakupa probation ya miezi miwilikule Argentina ,Chile na Brazil madem hawapigi mizinga siku ya tatu ya relationship angalau mwezi ndo unaweza omba kitu kwa bf wako hapa bongo wanawake mumezid yaan utafikir akijua kuwa mim ntamtongoza then nimtaturie shida zake na madem yake ya miaka tatu nyuma@ Shame on Tanzanian girls and women
Naomba buku nika betHuku kwetu washikaji wanaangalia chura.
Wanawake waangalia pesa usiogope bongo bahati mbaya
karibu sana man kukopoa na lugha barrier sio tatizo sana maana Spanish it is easy language to learn @ watanzania tupo kiasi hapa Argentina but when you go to Brazil specific saupaulo there many Tanzanian downthere @ vamosOi nipe mchongo mwanangu namimi nataka nizame fasi za Amazon huko kuna watoto wazuri sana waki Latino
hii ndio JF kwani hujaizoea tu??Kistory kama cha kutunga vile
Vamos.. Mucho gracias mi pandejokaribu sana man kukopoa na lugha barrier sio tatizo sana maana Spanish it is easy language to learn @ watanzania tupo kiasi hapa Argentina but when you go to Brazil specific saupaulo there many Tanzanian downthere @ vamos
wewe umeiona hilo neno tu?? mzungu akikosa kuandika Swahili it's normal when it comes to me as Tanzanian it's a crime??????Nilipoona hiyo Am give up sijaendelea kusoma
Njoo nikupe mkekaNaomba buku nika bet
Teh hakina msisimkoKistory kama cha kutunga vile