Hii ni kwa wanunua belo za mtumba tu

Hii ni kwa wanunua belo za mtumba tu

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Enyi wafanya biashara wa secondhand | Used | Mtumba

Nguo | Viatu | Mikoba/School bags nk.

Ni wapi unanunua bidhaa zako kati ya Tanzania | Kenya | Uganda?

Sababu zipi zinakushawishi kununua bidhaa point A badala ya Point B au C?

Vitu gani unazingatia hasa unapoamua kununua kati ya nchi hizo?

Kumekuwa na aina ya mitumba kutoka nchi mbalimbali kama China | Canada | Dubai | Uturuki nk
Je ni nchi gani inatoa mitumba mizuri kuliko nyingine?

Kila biashara zina sign zake kwenye kuchagua wengine wanajua kulingana na label ya belo husika mfano CCR nakadhalika..

Kuna belo nyingine zinaitwa Cream, nyingine grade A nk. Je hizo zote zinakuwaje?

NB: KUMBUKA MCHANGO WAKO JUU YA BIASHARA HII UTMSAIDIA MTU KUANZA BIASHARA HII AKIJUA NINI AFANYE.

Nawasilisha
 
Unamaswali yote muhimu! Tukae kwa kutulia[emoji2421]

Humu kunauwezekano ukachelewa! Potezea muda humu huto juta
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Sawa mkuu
 
Bahati mbaya imekosa wachangiaji
Kawaida tu hapa jf, huwa tunachangia nyuzi za kulana kimasihara 😁, hata wale wanaolalamika jf imekua ya ovyo ina utoto wapo huko huko kwenye kimasihara hapa huwaoni....

Kwangu hii ni thread bora sana
 
Kawaida tu hapa jf, huwa tunachangia nyuzi za kulana kimasihara 😁, hata wale wanaolalamika jf imekua ya ovyo ina utoto wapo huko huko kwenye kimasihara hapa huwaoni....

Kwangu hii ni thread bora sana
Hahah Rick the boy
 
Back
Top Bottom