Hivi jenista huu unakua muhula wa ngapi yeye kuwa mbunge
Duh,Kule uyole dada hauziki na hii ilikua moja ya sababu za kumpotezq Mdude.
Mzee anataka kablaa ajafaa amwache mtt wake Kwenye kitu Cha urais aiseeeeNaona Familia ya Kikwete ni Masultan wa nchi hii...
Kabisa hii naiona ikitimia.Mzee anataka kablaa ajafaa amwache mtt wake Kwenye kitu Cha urais aiseeee
URITHI WAKE HAUNA MUDAHivi jenista huu unakua muhula wa ngapi yeye kuwa mbunge
Sio kimehairishwa, sema kimeahirishwa.Kikao chenyewe kimehairishwa ila bado mnapiga ramli.