Hii ni kweli wamepitishwa na CCM tayari au ni speculatins za mitandao

Mambo mengine hayajatangazwa lakini yanapenyezwa na watu wa ndani kwa sababu hawayapendi yatokee.
Huuo Makonda ambaye tayari ana laana za mzee Warioba kwa kumkata makofi, aliwahi kumtusi hata JK wakati wa Magu, ana damu za watu wengi mikononi mwake na hili hata Gambo kasema juzi.
Lakini huuo mama yenyu hasikii hili wala lile, amembeba kwa mbeleko nzito jee kuna siri gani sisi hatujui?
 
Kikao chenyewe kimehairishwa ila bado mnapiga ramli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…