Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite mama jeni jina code.

Huyuu mama Jeni na mke wangu bhna ni marafiki yaaani wale wa karibu kabisa basi mimi nikamwambia niko tuu home nacheki move zangu za vita Vietnam na Marekani basi baada ya chakula cha mchana huyo kaoga kavaaa mimi nimetulia tuu kaondoka zake huko sijui ndio kwa mama Jeni au wapi sasa karudi hapaaa saa 9 usiku yuko hoii mimi nililala sana mchana nikawa niko machooo huwa najuaaa paswod.

Nikaamuaaa niiingie kwa simu yake Mungu wangu! Nimekuta videoo zaidi ya kumi wanasagana na huyooo mama Jeni yaaan live kabisaaa kumbe huyuu mwanamke ni shetani msagajii nimezituma kwa simu yangu kama ushahidi akiamka leo moja kwa mojaa kwaoo mpuuuzi ndio maana hata sex ananipangiaa yeye na mama Jeni ni wapenzi na anampenda maaan hata kuna kipindi mm nilitoa pesa amsaidiee huyoo mama jeni kodi ya nyumbaaa inauma ila sijuii nifanyajee wadau.
 
Mkeo na mama Jane wote ni wake zako hao, tafuna wote.
 
Huyo hana shida, yaani wanawake wawili ambao kimsingi hawana athari kabisa. Ingekuwa anaingiliwa na kidume hapo mawazo ya kumuacha ni 100%. You have the best opportunity one can dream of🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…