Hii ni laana! Inakuwaje tumekaa kimya kwa anayofanyiwa Tundu Lissu?

Joined
Apr 16, 2025
Posts
11
Reaction score
11
Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli.

Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu kutusaidia ni kama ndio wanachochea usingizi mzito. Mange anasema na kusema ndio Kwanza tunazidi kulala huu sio usingizi ni laana.

Mtu anayepigania haki anateswa makusudi na wananchi tunaangalia tupo kama misukule. Nimekubali Sasa kwamba asilimia 40 ya Watanzania ni mbumbu mbu kabisa.

Pole sana Tundu. Na wapigania haki wote sisi mnaotupigania tupo usingizini wala hatujui nini kinaendelea.
 
FB_IMG_1755024818230.jpg
Tuko busy na Maandalizi ya Kampeni.
Mchuano unaonekana ni mkali sana.
 
inasikitisha sana,na hiki ndo kinawapa kiburi CCM
 
Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli.

Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu kutusaidia ni kama ndio wanachochea usingizi mzito. Mange anasema na kusema ndio Kwanza tunazidi kulala huu sio usingizi ni laana.

Mtu anayepigania haki anateswa makusudi na wananchi tunaangalia tupo kama misukule. Nimekubali Sasa kwamba asilimia 40 ya Watanzania ni mbumbu mbu kabisa.

Pole sana Tundu. Na wapigania haki wote sisi mnaotupigania tupo usingizini wala hatujui nini kinaendelea.
Anapambania Watoto wake.So Kila mtu ana wajibu wa kupambania maisha yake na vizazi vyake
 
Hii ya Watanzania ni mbumbu mbu kabisa.

Pole sana Tundu. Na wapigania haki wote sisi mnaotupigania tupo usingizini wala hatujui nini kinaendelea.
Watanzania hatukumuandikia barua Lisu kuwa atupiganie.Ndio maana Watanzania tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida

Anapigania njaa yake .Apambane na hali yake.
 
Hii ni laana tena Kali na aliyetulaani ametuumiza kweli kweli.

Yaani Mwenyekit wetu Tundu Lissu yupo ndani anaumizwa makusudi lakini ndio Kwanza hata hatujui tufanye nini, ulaya wamejaribu kutusaidia ni kama ndio wanachochea usingizi mzito. Mange anasema na kusema ndio Kwanza tunazidi kulala huu sio usingizi ni laana.

Mtu anayepigania haki anateswa makusudi na wananchi tunaangalia tupo kama misukule. Nimekubali Sasa kwamba asilimia 40 ya Watanzania ni mbumbu mbu kabisa.

Pole sana Tundu. Na wapigania haki wote sisi mnaotupigania tupo usingizini wala hatujui nini kinaendelea.
Kajitoe muhanga wew
 
Back
Top Bottom