Kutazamwa sana haimaniishi unafanya vizuri. Ukijirekodi unashikishwa ukuta utavunja rekodi ya hao wasanii.
Inabidi ajifunze kwa Diamond na Alikiba kuimba muziki mzuri. Unaimba Muziki unawaponda wasanii wenzako, nani hiyo shit anataka kusikiliza?
Asipojiangalia huyu jamaa Makonde, tuzo na kwenye matamasha makubwa makubwa watakuwa wanaenda Wasafi, Kiba na wasanii wengine maana atajikuta kila nyimbo anamponda Diamond.
Alikiba na Diamond wanabifu lkn huwezi kukuta hawa wasanii wanaimba nyimbo za kukashifiana.