Hilo jibu la hapana lazima ulitolee ushahidi, Je kwanini unataka tuamini wimbo wa Zuchu siyo wimbo namba moja ukilinganisha na nyimbo nyingine za wasanii wa kike kwa kipindi hicho.Je sukari ni nyimbo bora zaidi ya nyimbo zote za wasanii wakike tz! Jibu ni hapana
So why ina views wengi zaidi ya nyingine!
Ajifunze kwa Diamond na Kiba? Kwani huyo Kiba yuko namba ngapi kwenye hiyo orodha[emoji15][emoji15] mpaka naye awe mfano wa kuigwa ili afanikiwe[emoji2369][emoji2369]!Huyu mwamba akiacha nyimbo za kumponda Diamond atafika mbali sana.
Sikiliza nyimbo kama Kwa ngaru na Mtaje ipo poa. Ajifunze kwa Diamond na Alikiba
Ajifunze kwa Diamond na Kiba? Kwani huyo Kiba yuko namba ngapi kwenye hiyo orodha[emoji15][emoji15] mpaka naye awe mfano wa kuigwa ili afanikiwe[emoji2369][emoji2369]!
Ajifunze kwa Diamond na Kiba? Kwani huyo Kiba yuko namba ngapi kwenye hiyo orodha[emoji15][emoji15] mpaka naye awe mfano wa kuigwa ili afanikiwe[emoji2369][emoji2369]!
Kweli mkuu..... Hata waimbaji wa taarabu hawafanyi hivoKutazamwa sana haimaniishi unafanya vizuri. Ukijirekodi unashikishwa ukuta utavunja rekodi ya hao wasanii.
Inabidi ajifunze kwa Diamond na Alikiba kuimba muziki mzuri. Unaimba Muziki unawaponda wasanii wenzako, nani hiyo shit anataka kusikiliza?
Asipojiangalia huyu jamaa Makonde, tuzo na kwenye matamasha makubwa makubwa watakuwa wanaenda Wasafi, Kiba na wasanii wengine maana atajikuta kila nyimbo anamponda Diamond.
Alikiba na Diamond wanabifu lkn huwezi kukuta hawa wasanii wanaimba nyimbo za kukashifiana.