Hii ni mbinu moja mujarrabu sana ya kupata utajiri siku moja tu ewe kijana mwenzangu

Hii ni mbinu moja mujarrabu sana ya kupata utajiri siku moja tu ewe kijana mwenzangu

Ramtz Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2026
Posts
269
Reaction score
529
Sasa ndugu yangu wewe ambaye kwa sasa huna hela maisha magumu au hela unayo lakini haikutoshelezi leo nataka nikupe mbinu moja mujarrabu kabisa ya kupata hela leo leo..!

kwanza kabisa kinachohitajika ni kujiamini ukiwa unajiamini na huna woga utatobo

KWANZA ANAZA
KUTAFUTA VITU
HV


1 kioo cha miatano kidogo!

2 ubani mashtaka

3 karafu maiti
4 na karamu nyekundu 5 white paper

5 begi dogo la mgongoni kwa ajili ya kuwekea pesa

Utafanya kupata hzo pesa?

1 CHUKUA KARATASI KISHA ANDIKA KIASI UNACHOTAKA CHA PESA...!

HAKIKISHA UNAANDIKA KUANZIA BIL 7 KUENDELEA YANI KILA UTAKAVYOANDIKA IWE NI 7 AU 77 AU 777 OK


Umesoma kwa umakini sana ila utajiri rahisi kama huo hakuna amka tafuta hela kaka & dada

KAMA UNA HASIRA SANA NIPO TANGA NJOO UNIUE.....
 
Mwanetu tupe majina yako tukuombee kazi ajira portal ujobless utakuangamiza
 
Back
Top Bottom