Hii ni message kwa ma-snitch na ma-clown wanaocheza na maisha yetu – we’re done with this bullshit

Hii ni message kwa ma-snitch na ma-clown wanaocheza na maisha yetu – we’re done with this bullshit

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass puppets mnaoweza kutuvuta kamba mnavyotaka? Hell no, man! Tumeshastuka na huu usenge wenu! Mnatupiga kalenda kila siku, mnatuletea corny-ass stories wakati kitaa kimeungua. Vijana tunasota kinyama, tunapiga dirty jobs mpaka damu inatoka machoni lakini bado mnatuchukulia kama garbage. Hii nchi ni yetu sote, sio mali ya ukoo wa mtu wala hawa corrupt snitches wanaojiona wao ndio miungu watu. This is our turf, damn it!

Yaani mnatuchora, mnatudanganya na hizi fake-ass promises, halafu mkiona tumekaa kimya mnajidai mmetushika pabaya. That’s some real snake move! We are tired of being treated like nobodies katika ardhi yetu wenyewe. Mnatutukana kwa vitendo, mnatufanya kama sisi ni stepping stones za ninyi kufika kwenye neema zenu huku mkituacha tunakula vumbi. F that!

Sikilizeni kwa makini ninyi clowns: The streets are watching. Hii disrespect mwisho wake ni hapa. Hatuwezi kuendelea kuwa humble wakati mnatuchukulia kama dummies. Ama mrekebishe huu mchongo, muache huu uhuni wa kishamba, au mjue kabisa the heat is coming.

Vijana tumechoka kuteseka "kiwaki" huku ninyi mnakula caviar na kucheka. Stop playing with our lives! This system is broken as hell, and we ain't gonna fix it by being polite anymore. Keep your bullshit to yourself. We want our respect, we want our future, and we want it now! Real talk, no cap!
 
Back
Top Bottom