Hii ni mimba au??

UPT is 500/1000 huwa haidanganyi unless upime in less 2 weeks. Au uwe na low level of HGC hormones haitaonekana
 
Kipindi una duu mbona hukuja kuuliza, Ni MIMBA NDIO[emoji23]
 
Sijapanga kuzaa saivi kwakweli ila sijui kama IPO au haipo kopo lilikuq Na Rangi ya maziwa
Hio njia ya kuchanganya makologeti sio ya uhakika kukupa jibu sahihi, jitahidi uende kupima katika zahanati yoyote iliyo karibu, na kama unaogopa kupokea majibu basi mimi nipo tayari kujitolea kukusindikiza pamoja na kukufariji.
 
Sawa naenda saivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…