Hii ni mimba au??

Hii ni mimba au??

Hiyo yaweza kuwa sio mimba dada, fanya uende hospital tu kucheck magonjwa mengine lkn hio c mimba, unaweza ukakaa ata miez miwili usiione hedhi, kutokuiona hedhi c kigezo km unamimba ni hofu ulionayo ambayo inakufanya ushindwe kuona siku zako....
 
mna misuse colgate.kwani meno hayo au?vipi kama ungepata rangi nyekundu si ndiyo ungedata kabisa
 
Habarn jamani
Nilipima mimba kupitia njia ya kukojoa kwenye kopo halafu nikatia Colgate kidogo sasa ikabadilika Na kua Rangi ya maziwa sasa jamani hapo ndiyo sielewi kama IPO au haipo Na siskii dalili ya kubleed Na tarehe yangu ya bleed ni 9 au 10 sasa sioni dalili maana dalili hua nazipata ikifika tarehe 1 kamili
Ukatega papa danger days,ukashindwa kununa emergency pills, yanaanza kukukuta unashindwa nunua UPT ya 500/1000, endelea tu na local methods hizoo

Njoo nikufanyie MVA nipate ela ya wine na supu asbh japo dhambi ya kuua n kubwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom