Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapofanya bila kinga hayo pia ni matarajio!Sijapanga kuzaa saivi kwakweli ila sijui kama IPO au haipo kopo lilikuq Na Rangi ya maziwa
Hii ya kupima mimba kwa COLGATE ni chiboko... si ukanunue kile kipimio phamacySjajua kama IPO au haipo kopo lilikua Na Rangi ya maziwa
Ukatega papa danger days,ukashindwa kununa emergency pills, yanaanza kukukuta unashindwa nunua UPT ya 500/1000, endelea tu na local methods hizooHabarn jamani
Nilipima mimba kupitia njia ya kukojoa kwenye kopo halafu nikatia Colgate kidogo sasa ikabadilika Na kua Rangi ya maziwa sasa jamani hapo ndiyo sielewi kama IPO au haipo Na siskii dalili ya kubleed Na tarehe yangu ya bleed ni 9 au 10 sasa sioni dalili maana dalili hua nazipata ikifika tarehe 1 kamili