Priscilla priscon
Member
- May 12, 2018
- 57
- 53
,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Priscillia kwani bado upo shule?Wewe ujue nipo serious
hahahaha we mwanamke hauko serious kabisaMara ya mwisho umetiana lini ?
No sisomiPriscillia kwani bado upo shule?
basi zaaNo sisomi
hahahaha we mwanamke hauko serious kabisa
Habarn jamani
Nilipima mimba kupitia njia ya kukojoa kwenye kopo halafu nikatia Colgate kidogo sasa ikabadilika Na kua Rangi ya maziwa sasa jamani hapo ndiyo sielewi kama IPO au haipo Na siskii dalili ya kubleed Na tarehe yangu ya bleed ni 9 au 10 sasa sioni dalili maana dalili hua nazipata ikifika tarehe 1 kamili
mkuu samahaniNani mwanamke ? Acha ubwege wewe
Sjajua kama IPO au haipo kopo lilikua Na Rangi ya maziwabasi zaa
Sasa unawasiwasi wa nini dada yangu?No sisomi
Sijapanga kuzaa saivi kwakweli ila sijui kama IPO au haipo kopo lilikuq Na Rangi ya maziwaSasa unawasiwasi wa nini dada yangu?
Watoto ni baraka ukipata mimba yapaswa ufurahi.
Kipindi una duu mbona hukuja kuuliza, Ni MIMBA NDIO[emoji23]Habarn jamani
Nilipima mimba kupitia njia ya kukojoa kwenye kopo halafu nikatia Colgate kidogo sasa ikabadilika Na kua Rangi ya maziwa sasa jamani hapo ndiyo sielewi kama IPO au haipo Na siskii dalili ya kubleed Na tarehe yangu ya bleed ni 9 au 10 sasa sioni dalili maana dalili hua nazipata ikifika tarehe 1 kamili
Hio njia ya kuchanganya makologeti sio ya uhakika kukupa jibu sahihi, jitahidi uende kupima katika zahanati yoyote iliyo karibu, na kama unaogopa kupokea majibu basi mimi nipo tayari kujitolea kukusindikiza pamoja na kukufariji.Sijapanga kuzaa saivi kwakweli ila sijui kama IPO au haipo kopo lilikuq Na Rangi ya maziwa
Sawa naenda saiviHio njia ya kuchanganya makologeti sio ya uhakika kukupa jibu sahihi, jitahidi uende kupima katika zahanati yoyote iliyo karibu, na kama unaogopa kupokea majibu basi mimi nipo tayari kujitolea kukusindikiza pamoja na kukufariji.
Ok. Samahani kwa hilo. Ila huyo jamaa niliyo mtag ni Dr.....atakusaidia.Wewe ujue nipo serious