Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

Ukiangalia ile Documentary Idd Amin ndio utajua alikuwa mtata.[emoji16][emoji16][emoji1787] alafu chizi. Kuna sehemu ana sail na boti mtoni anaona mamba anasema they know me, anaongeza kumwambia Mtangazaji "ask them".

Ila alikuwa talented, kauli zake zingine na mzee Magu. Sawasawa[emoji1787][emoji1787]
 
Alijaliwa kupata watoto 45 katika uhai wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…