Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

His Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.Idi Amin Dada
Rafiki yangu Mganda aliwahi kuniambia swali la mtihani linaweza kuwa taja majina na vyeo vya rais
 
Huyu jamaa alimkamata mwandishi wa habari toka majuu alikuwa mwanamke
[emoji117] Kwanza akimnanihiii
[emoji117] Halafu akampiga mhuri wa moto papuchi kwa initial za jina lake. I.D
[emoji117] Alimuacha aende zake
Kama yuko hai papuchi yake akiiangalia anamkumbuka kidume
 
Kuna zilizoongezwa chumvi lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa huyu alikuwa mtata.

Ipo interview yake mwenyewe anaelezea jinsi atakavyoipiga Israel..sasa mwenyewe waweza kupata picha alikuwa Mtu wa aina gani.
Huyo mtoto kuna watu wanamdanganya mkuu
Wanamwambia amin alikuwa mtu mwema[emoji23]
 
Huyu jamaa alimkamata mwandishi wa habari toka majuu alikuwa mwanamke
[emoji117] Kwanza akimnanihiii
[emoji117] Halafu akampiga mhuri wa moto papuchi kwa initial za jina lake. I.D
[emoji117] Alimuacha aende zake
Kama yuko hai papuchi yake akiiangalia anamkumbuka kidume
Story za vijiweni
 
Back
Top Bottom