Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

.
His Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.Idi Amin Dada
 
Ipi sasa, kwamba hakuvamia Kagera na kudai ni sehemu ya Uganda? kwamba hakuua Wapinzani wake?

labda kama zile za kuua mwanaye hata mimi siziaminiamini.
Kwamba alikuwa anakula nyama za watu kisha vichwa vyao anaviweka kwenye friji
 
.
His Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.Idi Amin Dada
 
Kwamba alikuwa anakula nyama za watu kisha vichwa vyao anaviweka kwenye friji
Watu watakuzushia mambo kutokana na mwenendo wako mwenyewe, hawawezi tu wakakurupuka.

Ni wengi walipotea wakati wa utawala wake, sasa ni kwa vipi yeye kiongozi asihusishwe, hata kama labda wataongeza chumvi?
 
Back
Top Bottom