Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

Kuna zilizoongezwa chumvi lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa huyu alikuwa mtata.

Ipo interview yake mwenyewe anaelezea jinsi atakavyoipiga Israel..sasa mwenyewe waweza kupata picha alikuwa Mtu wa aina gani.

ninayo moja anasema
“even the tactics i use in sports i use also in politics like knock out”
akaulizwa “how do you knock out your political opponents ?”
akajibu “eeh ? ,but you know ...(akapotezea mada)[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hao ni watoto hawajui kitu wanaandika tu

naona umekuja kutetea uchafu alioufanya mchonga kumchafua idd amin
nenda huko ukasome udikteta wa nyerere alikua anawafunga watu wakimkosoa mfano kuna mzee alimwambia ujamaa is a failure nipishe niongoze nchi , nyerere akamfunga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda kamsome tna Amin akuwai kucheza uzalendo alichukua maduka na biashara za wahindi kuwapa wezi wenzie...

idd amin hakuwahi kuwa mwizi, tumia bando zako vizuri usome historia sio unakuja hapa kubisha mambo hayana maana
idd amin mpaka anaondoka uganda hana pesa yoyote, aliishi kwa msaada wa gaddafi na familia ya mfalme wa saudia, japo wakati yupo madarakani alipenda magari mazuri mfano range na marcedes


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari yako imejaa hisia za chuki na upande mwingine mapenzi.

Kwa andiko lako, unaonekana kufurahishwa na Amini na kuchukizwa sana na mwalimu.

Labda ni uzuri upi wa amini uliokufurahisha na kumuona mtu wa kuigwa katika jamii?

wana jf bana , kasomeni huko historia zipo google kwenye vitabu, huyo unayesema ana chuki na nyerere ameongea ukweli
Amini kafanya mambo mengi sana kuanzia mambo ya ku empower wanawake kwa kuhimiza wapewe ajira ,alikuza michezo uganda, alifanya shughuli nyingi tu zingine za maendeleo ya nchi yake kama rais
mchonga alaaniwe huko alipo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu ka ulisoma vizuri naamini ungekuwa umenielewa,nirudie tena nae alikuwa na kasoro zake na ni ka hayo aliyowafanyia ndugu zake wa nyumbani, na hilo ni kosa ambalo lipo kwa watawala wetu karibu wote. natumai hapo umenielewa baada ya ufafanuzi huo kwa uchache

mkuu usipoteze muda ,hawa watu wapo brain washed
idd amin hakuua mtu ki makosa kwa mfano kuna video anasema kabisa , “kosa la ushushushu ni kupigwa risasi,hakuna haja ya kutumia muda mrefu siku nzima mnajadili kesi ya mtu aliye na hatia ya ushushushu,”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kosa lake ni kukubali ile ndege iliyotekwa itue kwake..kumbuka hata gadafi aligoma kuipa hifadhi. Hapo wazungu wakaona huyu hafai inabidi atoke maana alishaanza mishe na mataifa mengine waivamie kabisa israel. Na ndo maana hata baadae historia yake wakaiongezea chumvi. Inngawa haitoi ukweli kuwa nae alikuwa kichaa kabisa. Yeye na nyerere walikiwa na mawazo tofauti ndo ugomvi ulipoanzia. Sababu hata mchonga nae alikuwa puppet kwa jamaa hao

mchonga alikua mnafiki fulani na mwenye wivu sana, alifadhiri wahasi wa uganda wampindue idd amin na pia mobutu kwa pesa za wananchi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wana jf bana , kasomeni huko historia zipo google kwenye vitabu, huyo unayesema ana chuki na nyerere ameongea ukweli
Amini kafanya mambo mengi sana kuanzia mambo ya ku empower wanawake kwa kuhimiza wapewe ajira ,alikuza michezo uganda, alifanya shughuli nyingi tu zingine za maendeleo ya nchi yake kama rais
mchonga alaaniwe huko alipo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba wenye hekima wa ya-approve au disapprove uliyoyaleta kumtetea amini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipi sasa, kwamba hakuvamia Kagera na kudai ni sehemu ya Uganda? kwamba hakuua Wapinzani wake?

labda kama zile za kuua mwanaye ndio hata mimi huwa kama siziaminiamini.
Kuna mambo mengi Sana nyuma ya uvamizi wa Amini dhidi ya Nyerere.. ni hivyo tu wahenga husema HISTORIA HUANDIKWA NA WASHINDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu naye alikuwa pimbi tu kama huyu tuliyenaye. Aliwazingua wazungu huku ramani za maeneo muhimu ya nchi yake wanazo (wao ndo walimjengea airports, ofisi nyeti za serikali na, n.k) na silaha zake walikuwa wanazifahamu vyema, maana alikuwa anaenda kununua kwao.

So wangeamua kumtwanga angepona?
 
His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular. Idi Amin at swearing-in ceremony, October 02, 1975///// vyeo vinatisha -lord of all beasts of earth and fishes of the sea 😂 😂
BwI92OYIYAEcM_G.jpg
 
HUYO SIYO IDD AMINI DADA BALI NI FIELD MARSHAL DR. VC. MC. ALHAJI IDD AMIN DADA Nadhani hata huko aliko atanipongeza kwa kukumbuka sifa zake

pia aliongeza tittle zingine mfano
POSSESSOR OF ALL ALMIGHTY POWER AND KNOWLEDGE[emoji23] nk
kuna ka clip anatajwa title zaidi ya hizo nitakaweka humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
pia aliongeza tittle zingine mfano
POSSESSOR OF ALL ALMIGHTY POWER AND KNOWLEDGE[emoji23] nk
kuna ka clip anatajwa title zaidi ya hizo nitakaweka humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mufalme wa wanyama wote duniani na samaki wote baharini 😂
 
Hahahha! Hivi ni kweli jamani? Ninaomba source ya hii taarifa ili niweze kuwachokoza vizuri wazungu
Naona source imeshatumwa naomba ukianza kuwachokoza mabeberu unitagi ata ukiwa tweeter!ila jamaa ilakua noma sana tungepata watu kama amin 20 tu wazungu wangekiona cha moto afrika
 
Back
Top Bottom