Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kuna zilizoongezwa chumvi lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa jamaa huyu alikuwa mtata.
Ipo interview yake mwenyewe anaelezea jinsi atakavyoipiga Israel..sasa mwenyewe waweza kupata picha alikuwa Mtu wa aina gani.
Hao ni watoto hawajui kitu wanaandika tu
Nenda kamsome tna Amin akuwai kucheza uzalendo alichukua maduka na biashara za wahindi kuwapa wezi wenzie...
Habari yako imejaa hisia za chuki na upande mwingine mapenzi.
Kwa andiko lako, unaonekana kufurahishwa na Amini na kuchukizwa sana na mwalimu.
Labda ni uzuri upi wa amini uliokufurahisha na kumuona mtu wa kuigwa katika jamii?
mkuu ka ulisoma vizuri naamini ungekuwa umenielewa,nirudie tena nae alikuwa na kasoro zake na ni ka hayo aliyowafanyia ndugu zake wa nyumbani, na hilo ni kosa ambalo lipo kwa watawala wetu karibu wote. natumai hapo umenielewa baada ya ufafanuzi huo kwa uchache
Kosa lake ni kukubali ile ndege iliyotekwa itue kwake..kumbuka hata gadafi aligoma kuipa hifadhi. Hapo wazungu wakaona huyu hafai inabidi atoke maana alishaanza mishe na mataifa mengine waivamie kabisa israel. Na ndo maana hata baadae historia yake wakaiongezea chumvi. Inngawa haitoi ukweli kuwa nae alikuwa kichaa kabisa. Yeye na nyerere walikiwa na mawazo tofauti ndo ugomvi ulipoanzia. Sababu hata mchonga nae alikuwa puppet kwa jamaa hao
Naomba wenye hekima wa ya-approve au disapprove uliyoyaleta kumtetea aminiwana jf bana , kasomeni huko historia zipo google kwenye vitabu, huyo unayesema ana chuki na nyerere ameongea ukweli
Amini kafanya mambo mengi sana kuanzia mambo ya ku empower wanawake kwa kuhimiza wapewe ajira ,alikuza michezo uganda, alifanya shughuli nyingi tu zingine za maendeleo ya nchi yake kama rais
mchonga alaaniwe huko alipo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli humu watoto wengiHahahha! Hivi ni kweli jamani? Ninaomba source ya hii taarifa ili niweze kuwachokoza vizuri wazungu
Kuna mambo mengi Sana nyuma ya uvamizi wa Amini dhidi ya Nyerere.. ni hivyo tu wahenga husema HISTORIA HUANDIKWA NA WASHINDI.Ipi sasa, kwamba hakuvamia Kagera na kudai ni sehemu ya Uganda? kwamba hakuua Wapinzani wake?
labda kama zile za kuua mwanaye ndio hata mimi huwa kama siziaminiamini.
Kama inachekesha ,au kufurahisha lakini mwisho wa Siku ni ujinga tu!
Na ubabe wke wote ila ni Dada
Aliitisha mkutano wa wafanya biashara na maofisa wa ubalozi wa Uingereza. Akaamrisha wambebe
HUYO SIYO IDD AMINI DADA BALI NI FIELD MARSHAL DR. VC. MC. ALHAJI IDD AMIN DADA Nadhani hata huko aliko atanipongeza kwa kukumbuka sifa zake
Mufalme wa wanyama wote duniani na samaki wote baharini 😂pia aliongeza tittle zingine mfano
POSSESSOR OF ALL ALMIGHTY POWER AND KNOWLEDGE[emoji23] nk
kuna ka clip anatajwa title zaidi ya hizo nitakaweka humu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lakini haimfanyi kuwa kaka!Dada ni jina la ukoo
Naona source imeshatumwa naomba ukianza kuwachokoza mabeberu unitagi ata ukiwa tweeter!ila jamaa ilakua noma sana tungepata watu kama amin 20 tu wazungu wangekiona cha moto afrikaHahahha! Hivi ni kweli jamani? Ninaomba source ya hii taarifa ili niweze kuwachokoza vizuri wazungu