Hii ni moja ya picha ambazo Waingereza hawapendi kuziona

Kwani ni nani haui wapinzani wake?
Kiongozi halisi. Kama kuanzia Mandela maraisi wa Afrika Kusini (hata yule mbaya) hawakuanza kuua. Katika Umoja wa Ulaya simjui aliyeua mpinzani. Vilevile nchi nyingine kote duniani zilizoendelea. Hata Trump....
 
Hakika kaka umesoma, unazitetea hoja kwa ushahidi na nukuu
 
Habari yako imejaa hisia za chuki na upande mwingine mapenzi.

Kwa andiko lako, unaonekana kufurahishwa na Amini na kuchukizwa sana na mwalimu.

Labda ni uzuri upi wa amini uliokufurahisha na kumuona mtu wa kuigwa katika jamii?
 
Habari yako imejaa hisia za chuki na upande mwingine mapenzi.

Kwa andiko lako, unaonekana kufurahishwa na Amini na kuchukizwa sana na mwalimu.

Labda ni uzuri upi wa amini uliokufurahisha na kumuona mtu wa kuigwa katika jamii?
Andiko lake ni kipimo cha ujinga uliojaa kichwani mwake.
 
JINA LA dada ni lake au sia ya udada
Udada? Kumbe. kuna uhusiano wa siri na "Dadaism" ?πŸ™‚πŸ˜΅
(Dadaism is closely associated with the concepts of the grotesque, the absurd and the macabre that were communicated through the arts slightly later in the twentieth century. The idea of ridiculing the absurdity of existence finds its most poignant expression through the dramatic art of Samuel Beckett and the so called Paris school of dramatists that included Arthur Adamov, Jean Genet, and Eugene O'Neill. ) https://simple.wikipedia.org/wiki/Dadaism
 
Basi hujadili Amin (aliyechezea pia ngoma ya uzalendo... km alipowapora na kufukuza Waganda Wahindi), unalilia wengine.
Nenda kamsome tna Amin akuwai kucheza uzalendo alichukua maduka na biashara za wahindi kuwapa wezi wenzie...
 
Huyu mwamba nilikuwa namkubali sana sema historia ya uongo inamchafua nyuma ya pazia
Binafsi nilikuwa na mawazo kama yako kuwa Nduli Amini alikuwa anachafuliwa kumbe sivyo. Tafuta kitabu kinachoitwa 'State Of Blood' by Henry Kyemba ndiyo utajua kuwa Amini alikuwa katili na alitafuna nyama za watu.
Henry Kyemba aliwahi kuwa Waziri wa Afya pia Makamu wa rais ktk serikali ya Obote pamoja na serikali ya Amini.
 
Tupo tofauti Binafsi namkubari sna huyu mtu sifa yke kubwa akuwai kuwa Mnafiki alisimamia anacho kiamini. sio tumeibiwa sna tumechezewa sna hlf hakuna lolote Chukua Chako Mapema Ni ile ile...View attachment 1132267
Pole, inaelekea hujui historia nzima ya huyu Nduli Amin. Ktk watu wanafiki sana enzi zake ni pamoja na huyu. Watu walio differ naye, aliwaita ktk ikulu yake na kushikana mikono as if mambo yameisha. Duuh, wakishatoka ikulu walikuwa hawafiki mbali, vijana wa The State Research Bureau lazima wafanye yao; Kesho yake utasikia yeye mwenyewe Amin akihutubia taifa kuwa Askofu Mkuu wa Anglikan - Arch bishop Janan Luwuum na wenzake wamepata ajali mbaya ya gari.
 
Ipi sasa, kwamba hakuvamia Kagera na kudai ni sehemu ya Uganda? kwamba hakuua Wapinzani wake?

labda kama zile za kuua mwanaye ndio hata mimi huwa kama siziaminiamini.

idd amin hakuvamia kagera
sisi ndio tulimvamia ,yeye alifanya kujihami tu kwa kuleta vikosi vyake TZ , lengo lake ilikua ni kumtoa nyerere madarakani kwa sababu nyerere alifadhili vikosi vya kumpindua idd amin zaidi ya mara 2 kwa pesa ya watanzania


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…