Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

Uchambuzi tayari..

Nakubaliana na wewe, ila bila kuuzungumzia mfumo wao wa defense na pattern nzima ya timu, bado haitoshi. Jamaa hata eneo la ulinzi lina shape nzuri. Kushambulia pekee haitoshi. Wanafanya hivyo kwakuwa tayari wanajua kama watapoteza mpira wakati wa attacking watazuiaje wapinzani wasiwadhuru.

N.B: ili uamini umewashinda hawa jamaa ni hadi usikie filimbi ya mwisho. Bila hivyo ni baaaadooo
 
Dortmund alikiona jana
 
Aisee , Gerald holaaa,Lampard holaaa, Rooney holaaa,Kampany holaaa,noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…