Hii ni muhimu kwa wanywa pombe wenzangu

Hii ni muhimu kwa wanywa pombe wenzangu

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Kucheki afya yako ni muhimu sana , afya ya moyo , kiwango cha sukari mwilini na nk ni muhimu mno.

Sio unagida mipombe bila kujua afya yako ipoje , watoto wadogo kabisa unakuta ni mgonjwa wa sukari bila kujijua ,anagida mipombe tu bila kujua hali ya afya yake🤔, mwisho wa siku tunamchimbia mapema mno.

Sio kila pombe inafaa kila mtu , hivyo ni muhimu sana kujua hali zetu za kiafya , usiige tembo utapasuka msamba .

Pia ni muhimu sana kufanya mazoezi mara kwa mara na kula chakula bora .

Nimemaliza.

Karibuni bia🍺🍺
 
20260904_193938.jpg


Acha ngonjera watu tupo saiti, eti mlevi nae amekua mshauri kukataza watu wasilewe, hii nchi Raha sana
 
Back
Top Bottom