Kucheki afya yako ni muhimu sana , afya ya moyo , kiwango cha sukari mwilini na nk ni muhimu mno.
Sio unagida mipombe bila kujua afya yako ipoje , watoto wadogo kabisa unakuta ni mgonjwa wa sukari bila kujijua ,anagida mipombe tu bila kujua hali ya afya yake🤔, mwisho wa siku tunamchimbia mapema mno.
Sio kila pombe inafaa kila mtu , hivyo ni muhimu sana kujua hali zetu za kiafya , usiige tembo utapasuka msamba .
Pia ni muhimu sana kufanya mazoezi mara kwa mara na kula chakula bora .
Nimemaliza.
Karibuni bia🍺🍺