Hii ni mwaka 2015 lakini mpaka leo serikali imeshindwa kutatua hii kero

Acheni CCM ifanye kazi - Hicho cha mtoto kwa mtoto wa Koromije.
 
Matatizo haya aliyasema Mwalimu Nyerere mwaka 1961. Lakini hadi kesho ndio yanazidi kuongezeka.

Maadui wakubwa wa Taifa.

"Umasikini.
Ujinga.
Maradhi''

Mwalimu JK Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…