SI KWELI Hii ni Noti mpya ya TSH 10,000 yenye picha ya Rais Samia inayotarajiwa kuanza kutumika

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Naina kadiri siku zinavyoyoyoma maza anaaendelea kupoteza watu waliokuwa wanamshangilia mwanzo...
kwamba ndivyo mijadala mingi ndani ya chadema ilivyo kijita sio?🤣

kwahiyo,
kwani hapo awali chadema walikua wanamshangilia sana, hata sasa hivi Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania aendelee kupoteza watu waliokua wanamshangilia?🤣

kwani mlikua wangapi awali na sasa hivi mko wangapi kamanda?🤣
 
Yaani miaka miwili tu ya u - Rais wake wa kurithi huku akiwa ameiharibu nchi, ameharibu uchumi, ameharibu demokrasia na usalama anataka awekwe na kwenye noti (pesa zetu)????

No way! Hastahili kupewa heshima yoyote na hana kabisa hadhi hiyo!!
kwani lini ulimuheshimu,hata sasa awe hastahili kamanda?🤣

mbona unapotosha wadau aise 🐒
 
kama kweli au isiwe kweli....lakini noti ya sh elf10 sio muhimu kwa sasa ukilinganisha na thamani ya hela kwa sasa. wangetengeneza noti ya shiling elf50 hapa itakua sawa.
noti za elf 1 na elf 2 zirudi kwenye sarafu .noti ianzie ya shiling elf5 elf10 elf20 na elf 50. hii itakua nzuri sana.
thani ya hela asaivi sio nzuri.elf10 ni sawa na elf 1 kimatumizi.
 
ameota mkia na mapembe nani amtake!!
Na ole wenu nije nisikie mtu anapiga kelele kuhusu ubora wa viongozi wanawake…aisee baada ya kuona uongozi wa huyu mama na Tulia……akina mama mmetu let chini kweli kweli. Bottomline, wote ni wale wale tuu.
 
Na ole wenu nije nisikie mtu anapiga kelele kuhusu ubora wa viongozi wanawake…aisee baada ya kuona uongozi wa huyu mama na Tulia……akina mama mmetu let chini kweli kweli. Bottomline, wote ni wale wale tuu.
Wanawake wenye kuweza kushika nafasi kubwa wakafanya vizuri ni wachache mno, bora na Tulia huyo mbibi ni garasa mno
 
kwani lini ulimuheshimu,hata sasa awe hastahili kamanda?🤣
Sijui nikujibu nini maana swali lako linaji self - contradict...

Nimesema hastahili na hajawahi kustahili heshima halafu wewe unaniuliza lini nilimheshimu....!!

Kwa akili hii halafu utawezaje kuwa Mbunge wewe? Si ndiyo Wabunge kama walioko Dodoma leo wanaoharibia nchi na taifa letu kwa kutunga sheria za kijinga kwa sababu wao wenyewe ni wajinga...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…