SI KWELI Hii ni Noti mpya ya TSH 10,000 yenye picha ya Rais Samia inayotarajiwa kuanza kutumika

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hiyo picha itakuwa inatukumbusha watu waliotekwa Kwa maelekezo yake.watoe haraka sana huo uchafu.
 
Hazipendezi.....ni kama ile 'jero' ya noti iliyotoswa!
 
Kule Bangladesh zoezi la kuchapisha pesa mpya lilikua ni mbinu ya ama kudhibiti fedha haramu zilizofichwa majumbani zitolewe au ni ufisadi mkubwa sana unaotaka kufanyika.

Kuna wakati fulani kule Bangladeshi walibadilisha pesa wakati wa kuingizia pesa mpya likapotea Contena zima la pesa mpya kwa mchongo uliohusisha familia ya mkubwa wa Bangladeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…