Hii ni nyumba ni ndogo mno ukichemsha utumbo inabidi ufungue madirisha

Ni hatari sana wanaume wanfanya wanawake tufanye vitu vya ajabu
 
Simple, sema kwa maisha yetu ya bongo humo bado kutawekwa, Ndoo ya chooni, fagio, mtungi wa gesi, subwoofer ya seapiano ( kubwaaa), viatu tunatupa tu uvunguni, nguo ukutani,
 
Hapo watu wawili hawapishaniπŸ˜…πŸ˜…
 
...nikiishi humu kigetto getto namaliza mambo yote kwa mama ntilie, nikija ni kupumzika tu[emoji23]. Kupika kupika jau
 
Aisee..
Haya maisha ya mwanzoni na landlord wa kihindi...
Ukikaa mwaka tu anakuongezea kodi....
 
Hivi wanawake wanaoachaga chupi na hereni kwa wanaume huwa wanafikiria nini haswa?
Hahahahah kwamba ushahidi *"washapita hapo asipite mwengine"

Au "nitarudi kuzichukua"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…