Hii ni nyumba ni ndogo mno ukichemsha utumbo inabidi ufungue madirisha

Kuacha michupi, hereni, machanuo ni kama alama ili akija demu meingine ajue kina mwenzake. Yaan ni kama security hivi. Nataka kuhamishia kabati langu la nguo huko. Ni hapo nikute mtoto wa mtu amevaa kanga yangu namla mitama yeye na bwanake wote

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mbona limetulia hili gheto la Ngwair!
Nalog off
 
Inawezekana hilo lilikuwa ni jiko, jamaa akajiongeza akaweka kitanda.
 
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…